Ligi yetu inazidi kupungua ubora kila mwaka. Timu dhaifu, hakuna ushindani

Hivi timu kama Coastal Union unaichukulia poa Mkuu?
 
Kwahiyo, ligi yetu itaongezeka ubora endapo Yanga atafungwa? Maana, nikionacho, hakuna lolote zaidi ya kusikitishwa na 5G
 
John wanaume huwa hatuna sifa hizo huwa tunatoa credits sio kama mamanzi [emoji28][emoji119] wewe kubali uwezo wa yanga acha kuzunguka mibuyu huko utakutana na wachawi..!
Ukweli kwamba timu zetu nyingi zinafanya vizuri nyumbani ila CAF CL zinatolewa asubuhi?

Azam alimfunga Kitayose goli 4 ndani ya dk 20, ila CAF akatolewa asubuhi

Yanga waliweka rekodi ya kucheza mechi nyingi unbeaten mwaka jana ila CAF CL wakatolewa asubuhi....Nazungumzia facts sio ushabiki
 
Toa kwanza nuksi ya kutofika makundi CL kwa miaka 25 ndio uanze kuongea kuhusu kubeba kombe
Viongozi wako wanasem malengo ya timu ni kufika makundi, wewe unasema kuchukua kombe
 
Kabisa
 
Unazungumzia mashindano mawili tofauti..!! Mwenzio anazungumzia LIGI ya NBC wewe unazungumzia mashindano ya CAF..!! Ukikua utaacha
Kipimo cha ubora wa ligi yetu ni kufanya vizuri kwenye mashindano ya CAF CL,
Kama timu inashinda goli nyingi ila kila mwaka CAF inatolewa hatua za awali, ligi ni dhaifu
 
Kama vip mtutafutie ligi nyingine manake nongwa zimezidi mtu akila umeme mara tano nongwa timu dhaifu..
Mtu akipigiwa mwingi mpaka aombe mpira uishe dhaifu tuamisheni ligi ili mbakie wenyewe shwaini..
Simba Ligi yake ni ligi ya mabingwa Afrika, CAF CL na Super league ya CAF
 
Imekwenda hiyooooo
 
Kutolewa robo fainali mara 4 ni ligi bora..!!
Angalau Simba imefika robo fainali, kufikia robo fainali hata mara moja tu ni mafanikio makubwa, kuna timu zina karibia miongo mitatu hazijafikia hata hatua ya makundi tu....makundi tu ni ndoto kubwa kwao, imagine
 
Yanga ina miaka 25 haijawahi kufikia hatua ya makundi club bingwa...

Kama Caf wanasema Yanga ni bora kwa nini wameanza round ya kwanza kwenye CAF CL?

Nisome vizuri, wewe umeponda ligi kwamba si bora, nami nimekujibu kuwa kwa mujibu wa CAF ligi ya TZ ni moja ya ligi bora...
 
Laliga na Bundasiliga umewahi kuzisikia hizi ligi huko kijijini kwenu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…