Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Ni mwendo wa 5GLete timu yako tena. Nakuhakikishia utakula 5
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mwendo wa 5GLete timu yako tena. Nakuhakikishia utakula 5
Hivi timu kama Coastal Union unaichukulia poa Mkuu?Ni wazi sasa ligi yetu inazidi kukosa ubora, timu nyingi ukiacha Simba na Yanga, ni zinazidi kuwa dhaifu, angalia tu zinavyocheza mechi za ndani na za kimataifa.
Azam imetolewa na timu kibonde kutoka ligi dhaifu ya Ethiopia, Singida ambayo inaonekana ni bora imefungwa na JKU ya Zanzibar.
Watu wasijione wanapiga vibonde goli nyingi wakajisifu, kimataifa wanaweza kuishia tena raundi ya pili
Nimemjibu huyo aliyeleta habari za YangaKwani ameongelea timu au ligi?
Kwahiyo, ligi yetu itaongezeka ubora endapo Yanga atafungwa? Maana, nikionacho, hakuna lolote zaidi ya kusikitishwa na 5GNi wazi sasa ligi yetu inazidi kukosa ubora, timu nyingi ukiacha Simba na Yanga, ni zinazidi kuwa dhaifu, angalia tu zinavyocheza mechi za ndani na za kimataifa.
Azam imetolewa na timu kibonde kutoka ligi dhaifu ya Ethiopia, Singida ambayo inaonekana ni bora imefungwa na JKU ya Zanzibar.
Watu wasijione wanapiga vibonde goli nyingi wakajisifu, kimataifa wanaweza kuishia tena raundi ya pili
Bado hujasema, na utasema tu..!!Yanga ina miaka 25 haijawahi kufikia hatua ya makundi club bingwa...
Kama Caf wanasema Yanga ni bora kwa nini wameanza round ya kwanza kwenye CAF CL?
Huyo ni kolo na kajawa wivu😂Haya maneno yako yapo tofauti na ubora wa CAF...
Tukubali tu kwamba Yanga wapo vizuri kwa misimu hii mitatu...
Ukweli kwamba timu zetu nyingi zinafanya vizuri nyumbani ila CAF CL zinatolewa asubuhi?John wanaume huwa hatuna sifa hizo huwa tunatoa credits sio kama mamanzi [emoji28][emoji119] wewe kubali uwezo wa yanga acha kuzunguka mibuyu huko utakutana na wachawi..!
Toa kwanza nuksi ya kutofika makundi CL kwa miaka 25 ndio uanze kuongea kuhusu kubeba kombeSo far Young Africans hatuna mpango wa kutengeneza status ya the best underdog of the tournament kuachieve ukubwa kama walivyofanya kolowizards. Young Africans tunataka kuupata ukubwa kwa kuwin tournament and that is the plan. Ilifail mwaka jana kwenye CAFCCL, tukalearn our lesson; msimu huu attempt ni kuwin CAFCL.
Nyie kolowizards endeleeni na ukubwa wenu at best underdog level. Mtakuja kushtuka tunaparade kikombe barabara ya msimbazi mkiwa na ukubwa wenu huohuo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Endapo Yanga itafanya vizuri kimataifa, miaka 25 haijanusa makundi klabu bingwa...!Kwahiyo, ligi yetu itaongezeka ubora endapo Yanga atafungwa? Maana, nikionacho, hakuna lolote zaidi ya kusikitishwa na 5G
KabisaNitakuelewa ukiniambia ligi inashuka ubora ksbb ya timu fulani kuandaliwa mazingira.
.
Ona Ngao ya jamii Singida walipiga boli na magoli yalifungwa matatu yote yakazimwa (wasingefunga mngesema goli gani wamefunga zikakataliwa?) Wakatolewa kwa matuta.
Ikaja final goli zikafungwa zikazimwa wazi wazi(labda zisingefungwa mngesema goli gani zilizozimwa?). Wakamtengenezea hata kibahati bahati. Ndani ya dakika 90 boli linasukumwa na wananchi, karia alikuwa mdogo.
Unazungumzia mashindano mawili tofauti..!! Mwenzio anazungumzia LIGI ya NBC wewe unazungumzia mashindano ya CAF..!! Ukikua utaachaEndapo Yanga itafanya vizuri kimataifa, miaka 25 haijanusa makundi klabu bingwa...!
Kipimo cha ubora wa ligi yetu ni kufanya vizuri kwenye mashindano ya CAF CL,Unazungumzia mashindano mawili tofauti..!! Mwenzio anazungumzia LIGI ya NBC wewe unazungumzia mashindano ya CAF..!! Ukikua utaacha
Simba Ligi yake ni ligi ya mabingwa Afrika, CAF CL na Super league ya CAFKama vip mtutafutie ligi nyingine manake nongwa zimezidi mtu akila umeme mara tano nongwa timu dhaifu..
Mtu akipigiwa mwingi mpaka aombe mpira uishe dhaifu tuamisheni ligi ili mbakie wenyewe shwaini..
Kutolewa robo fainali mara 4 ni ligi bora..!!Kipimo cha ubora wa ligi yetu ni kufanya vizuri kwenye mashindano ya CAF CL,
Kama timu inashinda goli nyingi ila kila mwaka CAF inatolewa hatua za awali, ligi ni dhaifu
Imekwenda hiyoooooNi wazi sasa ligi yetu inazidi kukosa ubora, timu nyingi ukiacha Simba na Yanga, ni zinazidi kuwa dhaifu, angalia tu zinavyocheza mechi za ndani na za kimataifa.
Azam imetolewa na timu kibonde kutoka ligi dhaifu ya Ethiopia, Singida ambayo inaonekana ni bora imefungwa na JKU ya Zanzibar.
Watu wasijione wanapiga vibonde goli nyingi wakajisifu, kimataifa wanaweza kuishia tena raundi ya pili
Angalau Simba imefika robo fainali, kufikia robo fainali hata mara moja tu ni mafanikio makubwa, kuna timu zina karibia miongo mitatu hazijafikia hata hatua ya makundi tu....makundi tu ni ndoto kubwa kwao, imagineKutolewa robo fainali mara 4 ni ligi bora..!!
Yanga ina miaka 25 haijawahi kufikia hatua ya makundi club bingwa...
Kama Caf wanasema Yanga ni bora kwa nini wameanza round ya kwanza kwenye CAF CL?
Laliga na Bundasiliga umewahi kuzisikia hizi ligi huko kijijini kwenu?Ni wazi sasa ligi yetu inazidi kukosa ubora, timu nyingi ukiacha Simba na Yanga, ni zinazidi kuwa dhaifu, angalia tu zinavyocheza mechi za ndani na za kimataifa.