Ligi za Tanzania kama tusipo kuwa makini Simba na Yanga ni mali ya CCM kiufupi

Ligi za Tanzania kama tusipo kuwa makini Simba na Yanga ni mali ya CCM kiufupi

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Kuna mda unaweza kushangaa waziri au wabunge wa CCM sababu wote ni CCM wakawa wanaongea hizi club badala ya shida za watu tokea kupata uhuru.

Hivi kuna nchi gani za ulaya zimekaa bungeni kukaribisha club ambazo zitangazi taifa mfano Brazil timu ya taifa kufanya vizuri japo hata bungeni wajapelekwa nenda rudi.
 
"Tunataka kuona katika Taifa hili, vijana jeuri na wenye kujiamini, si vijana waoga, akina "ndiyo bwana mkubwa", vijana wanaohoji na kupiga vita mifumo ya jamii isiyoshabihiana na matakwa na matarajio ya jamii ya kitanzania. Tunataka vijana waasi dhidi ya mifumo kandamizi, ubwana na ufisadi katika Taifa"

Mwl J.K. Nyerere, Rais wa Kwanza wa Tanzania
 
Yanga ni mali ya mzee wa Msoga ila Simba ni timu ya matajiri huru na Wafanyabiashara wasiokwepa kulipa kodi...

So utopwinyo ndiyo mali ya CCM.
 
Back
Top Bottom