Ligi zimeisha hawa ndio wachambuzi wangu bora wa michezo2020

Huyo shafii naye ni mchambuzi? makubwa[emoji848][emoji848][emoji844]. mchambuzi anakuwaga na tim yake mgongoni? shabiki atakuwa na nini sasa?yule dogo anaevaa mawan anakosaje apo?
 
Nimeru
Nilisikiliza sijui station gani hafu jina sikulikamata vizuri daah jamaa anachambua balaa nadhani Kama siyo wasafi Basi Clouds ila atakuwa siyo maarufu Kama siyo Kibwana Basi atakuwa Njenje.​

Nimerudia kusikiliza kipindi kumbe Ni wasafi arena jamaa Ni George Ambangile huyu mchambuzi ni moto hatumii nguvu anaongea kwa utulivu daah.​
 
Ambangile
Kashasha
Ally mayai tembele

Hao ndio wachambuzi nguli wa michezo hapa tz.

Waliobakia wote majungu na story ty kwenye redio stations.
 
Ally Mayai angefaa kukaa namba 3
 
kuna tofauti kati ya watangazaji na wachambuzi naona we umewaweka kapu moja
Watangazaji. mf
Maulidi kitenge
Ahmed Abdalah
Luambano. nk

Wachambuzi
Edo kumwembe
George Ambangile
Mwanaid suleiman
Likado momo

Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
 
Nimeru


Nimerudia kusikiliza kipindi kumbe Ni wasafi arena jamaa Ni George Ambangile huyu mchambuzi ni moto hatumii nguvu anaongea kwa utulivu daah.​

Kwa maelezo uliyoyatoa toka mwanzo nilijua unamzungumzia jamaa.

Mwenyewe mara ya kwanza kumsikia ilikuwa hivi hivi, mpaka nikawauliza wadau kumhusu jamaa.
 
Huyo Mwanaid siyo mchaambuzi mkuu...umepuyanga kidogo hapo
 
Hao wengine wote huwa siwasikilizi kasoro Maulid Kitenge. Mchambuzi bora kwangu ni George Ambangile.
 
Humu kuna threads zaidi ya 5 kama hizi na mara zote George anapata sapoti kubwa.

Halafu jamaa hana mbwembwe wala matangazo, anapiga zake kazi tu na wana tunamwelewa.
George Ambangile yupo calm.Siyo Edo kumwembe mara nilikuwa Brasil,mara Sammata nilivyokwenda Ubelgiji. Mara nilivyokuwa Madrid.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…