Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Naona humu Kura zote zakeExactly, jamaa mimi pia nilianza kumsikia akiwa Magic.
Kwangu mimi George ni mchambuzi pekee anayeweza kula airtime yangu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona humu Kura zote zakeExactly, jamaa mimi pia nilianza kumsikia akiwa Magic.
Kwangu mimi George ni mchambuzi pekee anayeweza kula airtime yangu.
Naona humu Kura zote zake
Sawa sawa ,ndio inatakiwa hivyoHumu kuna threads zaidi ya 5 kama hizi na mara zote George anapata sapoti kubwa.
Halafu jamaa hana mbwembwe wala matangazo, anapiga zake kazi tu na wana tunamwelewa.
Huyo shafii naye ni mchambuzi? makubwa[emoji848][emoji848][emoji844]. mchambuzi anakuwaga na tim yake mgongoni? shabiki atakuwa na nini sasa?yule dogo anaevaa mawan anakosaje apo?1.Edger Kibwana ( Clouds FM)
2.Mwl Kashasha( TBC FM)
3.Malegesi Nyamaka ( RFA)
4.Oscar Oscar ( EFM)
5.Mlipili ( RFA)
6.Yahya Njenge ( Clouds FM)
7.Ally Mayai ( Azam TV)
8.Ibrahimu Masoud ( EFM)
9.Maulid Kitenge ( Wasafi FM)
10.Shafihi Dauda( Clouds FM)
Shafii Dauda ni mchambuzi uchwara, hafai hata kuchambua redeHuyo shafii naye ni mchambuzi? makubwa[emoji848][emoji848][emoji844]. mchambuzi anakuwaga na tim yake mgongoni? shabiki atakuwa na nini sasa?yule dogo anaevaa mawan anakosaje apo?
Nilisikiliza sijui station gani hafu jina sikulikamata vizuri daah jamaa anachambua balaa nadhani Kama siyo wasafi Basi Clouds ila atakuwa siyo maarufu Kama siyo Kibwana Basi atakuwa Njenje.
Ally Mayai angefaa kukaa namba 31.Edger Kibwana ( Clouds FM)
2.Mwl Kashasha( TBC FM)
3.Malegesi Nyamaka ( RFA)
4.Oscar Oscar ( EFM)
5.Mlipili ( RFA)
6.Yahya Njenge ( Clouds FM)
7.Ally Mayai ( Azam TV)
8.Ibrahimu Masoud ( EFM)
9.Maulid Kitenge ( Wasafi FM)
10.Shafihi Dauda( Clouds FM)
Kuna huyu jemedali said mbn hatajwi au uwezo mdgAlly Mayai angefaa kukaa namba 3
Mkuu sio ishu mbona. hiyo ni list ya kwake kwa mujibu wa vigezo vyake huyo mtoahoja. Tunaweza kuwa na list inayokiz vigezo vyako pia tutaiheshim na kusema hii ni list ya Statesmann ila lazma wadau tuichanechane nayo,ndoivo yanList yako bila Edo Kumwembe ni fake
Hii nimeielewa ila kuna jamaa anaitwa James Samuel hapo Azam Media...sijui mnamchukuliaje wadau?1 George Ambangile
2 Ali Kamwe
3 Gef lea
4 Oscar Oscar
5 Ally Mayai
6 Shaffih Dauda
Nimeru
Nimerudia kusikiliza kipindi kumbe Ni wasafi arena jamaa Ni George Ambangile huyu mchambuzi ni moto hatumii nguvu anaongea kwa utulivu daah.
Huyo Mwanaid siyo mchaambuzi mkuu...umepuyanga kidogo hapokuna tofauti kati ya watangazaji na wachambuzi naona we umewaweka kapu moja
Watangazaji. mf
Maulidi kitenge
Ahmed Abdalah
Luambano. nk
Wachambuzi
Edo kumwembe
George Ambangile
Mwanaid suleiman
Likado momo
Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
Hao wengine wote huwa siwasikilizi kasoro Maulid Kitenge. Mchambuzi bora kwangu ni George Ambangile.1.Edger Kibwana ( Clouds FM)
2.Mwl Kashasha( TBC FM)
3.Malegesi Nyamaka ( RFA)
4.Oscar Oscar ( EFM)
5.Mlipili ( RFA)
6.Yahya Njenge ( Clouds FM)
7.Ally Mayai ( Azam TV)
8.Ibrahimu Masoud ( EFM)
9.Maulid Kitenge ( Wasafi FM)
10.Shafihi Dauda( Clouds FM)
George Ambangile yupo calm.Siyo Edo kumwembe mara nilikuwa Brasil,mara Sammata nilivyokwenda Ubelgiji. Mara nilivyokuwa Madrid.......Humu kuna threads zaidi ya 5 kama hizi na mara zote George anapata sapoti kubwa.
Halafu jamaa hana mbwembwe wala matangazo, anapiga zake kazi tu na wana tunamwelewa.