Ligii kuu Tanzania Bara: Namungo FC 1-1 Yanga SC

Kiufupi ni kwamba Namungo wameonewa..haikuwa penalti halali,mchezaji wa namungo alicheza mpira,refa kaweka tuta..aisee acha tu tuwe wasindikizaji.
Kwa hiyo???!!!
 
Makambo kagusa mpira mara ngapi?

Ila alikuja kwa mikwara tuache utani
 
Mumshukuru refa kaokoa jahazi,bila hivyo mngeanza lawama kwa tff na Mwakalebela.
 
YANGAAAAA YANGAAAAAA MMMEZIDIWA KILA KONAAAA YANI KILA KONAAAAA HIVI MNAELEWAAAA KWAMBA MMEBEBWAAAA HII HATA ASIEJUA MPIRA AMEONAAA.
 
Nakuruhusu fatilia vizuri humu utanijua ni shabiki wa timu ipi. Nafuria kupata point lakini ukweli utabakia pale pale refa katubeba kwa mbelrko ya chuma mkuu
Inawezekana wewe ni Yanga fake...wako wengi wa aina hiyo...
 
Hii ni timu yenye kubebwa sana na waamuzi lakini wanaongoza kulalamikia waamuzi,TFF na hata bodi ya ligi.

Leo mmetia aibu sana na mwamuzi wenu aliyewapa penalty na kuwanyima Namungo penalty mbili.

Huyu mwamuzi asipoadhibiwa ataligharimu soka.
Nimeona baada ya penalty kutolewa washabiki wengi walidharau mechi na kuanza kuondoka hapa kibanda umiza
 
Mumshukuru refa kaokoa jahazi,bila hivyo mngeanza lawama kws tff na Mwakalebela.
Hivi bao lenyewe wamepata dakika ya tisini na ngapi?!

Eti ni kweli kwamba na wenyewe wametugelezea staili yetu ya kupata goli dakika ya 97?!!

Mi nauliza tu lakini...
 
Yanga wamlipe kummalizia pesa yao mwamuzi aliyewabeba

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Hela ya GSM inaharibu sana ligi yetu

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…