geofreyngaga
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 658
- 946
Ndomaana kimataifa huwa hawaendi popote.
Yani kumbe ubingwa bado sanaaa kwa kweli wasivimbe waendelee kununua marefaZimebaki point mbili,Sasa hivi tupo nyuma yenu ole wenu mchuchumae kuchuma tembele, am sure Mwiko utatokea mdomoni.
Hahahaaaa Utoo bwana, eti hii team hakuna wa kuizuiaπ .
Refa anapaswa kufungiwa. Kwa maslahi mapana ya Mpira wa Tanzania. Kwasababu Position alio kuwepo Mwamuzi na Tukio lilipo Tokea Ni karibu sanaaaaa.
Ni kweli haikuwa penati halali, refa ameshimdwa kabisa kutafsiri nini maana ya foul. Siyo kwamba hakuona tukio ila ni kama alijiandaa kupuliza filimbi ya penati.Kiufupi ni kwamba Namungo wameonewa..haikuwa penalti halali,mchezaji wa namungo alicheza mpira,refa kaweka tuta..aisee acha tu tuwe wasindikizaji.
Unadhani manara anaumia?Sijui leo manara atakuja na style ipi pira bokoboko au pira makande
Sahihi kabisaNi kweli haikuwa penati halali, refa ameshimdwa kabisa kutafsiri nini maana ya foul. Siyo kwamba hakuona tukio ila ni kama alijiandaa kupuliza filimbi ya penati.
Hiyo Ndiyo Kauli Mbiu YaoSoon tu hawa masela wataanza kurudi kule kule,, tff inawahujumu, mo ananunua mechi
Yanga Win or draw, weka pesa hapo baadae unywe weekend vyema
Sent from my G3121 using JamiiForums mobile app
Mumeshinda ππππSisi sio kama nyie..!!,Sisi ni sisi na nyie ni nyie..Na hii game Tunashinda[emoji12]