Yaan wakati simba jana tuna nyimwa penati ya wazi kabisaa, leo Utopolo wana bebwa wazi wazi nanpenati yao
Hahaha Hajinalisema ataji saidia hadhari mbele ya watu wazima kinyesi cha mafungu mafungu 😆😆😆Leo jamaa hanyi nzima,wahuni wamtawaze na KY.
Kwa sababu zipi? Umebebwa wewe lawama kwa mashabiki wa SimbaNimeamini mashabiki wa Simba ni bureee!.
Penati inapigwa huku wachezaji zaidi ya wanne wapo karibu na sita. Na refa naye yupo ndani ya sitaYanga bingwa msimu huu[emoji23][emoji23][emoji23]yani alipewa kadi nyekundu sio aliyecheza hiyo rafu ya uongo na wala sio aliyemtukana mana yake aliyekuwa anamtukana pale ni jacob massawe na rafu kacheza emmanuel dogo wa mbao[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa kweli ni aibu ya mwaka kwa refa kutoa penati ileMimi yanga lakini ile haikuwa penati halali
Ujinga mtupu, usilinganishe uwezo halisi wa wachezaji na kubebwa na refa.View attachment 2017736
Hawa Namungo ni kawaida sana kwenye mechi zetu hasa kuponea chupuchupu na kutoa sare
Ni Matokeo positive sana kwa Yanga na pale ndio ubora na ujanja wa baadhi ya wachezaji kwenye mechi ngumu kama hizi kuamua hizi game
Mechi kama hizi ndio unakuwa na mchezaji aina ya clatous chota chama ambao wao kufanya magic kwenye kiwanja ni kitu cha kawaida sana
Acha zako ujanja afanye refa kongole ziende kwa wachezaji, nyie watu mbona mmekosa fadhila?View attachment 2017736
Hawa Namungo ni kawaida sana kwenye mechi zetu hasa kuponea chupuchupu na kutoa sare
Ni Matokeo positive sana kwa Yanga na pale ndio ubora na ujanja wa baadhi ya wachezaji kwenye mechi ngumu kama hizi kuamua hizi game
Mechi kama hizi ndio unakuwa na mchezaji aina ya clatous chota chama ambao wao kufanya magic kwenye kiwanja ni kitu cha kawaida sana
Nyinyi hamuwasumbui namungo, namungo wanasumbuliwa na refaHawa Namungo tangu wamepanda daraja wamekuwa wakitusumbua sana na tena kwa muda mrefu na mechi ya leo japokuwa sijaangalia nilijua tutapigwa tu
Kocha hakutakiwa aanze na wachezaji wakucheza kwenye viwanja vzr
Farid Mussa na Moloko viwanja hivi vinawasumbua sana kutokana na aina ya Ball control zao
Aya sawaUjinga mtupu, usilinganishe uwezo halisi wa wachezaji na kubebwa na refa.
Aya sawaNyinyi hamuwasumbui namungo, namungo wanasumbuliwa na refa
Aya sawaAcha zako ujanja afanye refa kongole ziende kwa wachezaji, nyie watu mbona mmekosa fadhila?