Ligii kuu Tanzania Bara: Namungo FC 1-1 Yanga SC

Vitu ambavyo ni lazima vitatokea kipindi cha pili

1. Red card itaenda kwa mchezaji wa namungo
2. Clearly penalty namungo wanapata refa anapeta
3. Kama kawaida mayele anashika tena afu yanga inapewa penalty
4. Fouls watazocheza yanga zitakua za kuonywa tu kwa mdomo huku namungo wakipigwa card
5. Goli la offside yanga watafunga, refa ataruhusu
6. Goli halali namungo itafunga, refa atasema offside
 
Sisi sio kama nyie..!!,Sisi ni sisi na nyie ni nyie..Na hii game Tunashinda[emoji12]
 
Huyu refa vp?

unapuliza kipenga cha mapumziko wakati mpira uko kwenye.move ya hatari?

non sense
Kwa hiyo mwisho wa mpira unaamriwa na move? Kwisha kunaamuriwa na muda, unless ni penalty imepigwa na mpira upo hewani.
 
Mpira umekushinda umehamia kwenye uganga

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
FT: Namungo 2 vs Ngedere(NYANI) 1.
Nyani leo lazima mukalie ukuni(MTABAKWA TU)
LUC AYMAEL hapa naongea.
we lucy weewee toka lini timu ya wananchi ukaifananisha na mandondocha ya mo>ludi nyumbani kumenoga
 
Wamalize haraka mpira waende kwenye sherehe wakashereheshe kama ambavyo wamehitajika
 
obrey chirwa kampindua mtu gagulo likaanguka kashindilia afu kakung'untia humo humo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…