Ligii kuu Tanzania Bara: Namungo FC 1-1 Yanga SC

Ligii kuu Tanzania Bara: Namungo FC 1-1 Yanga SC

..Bangala anampa..Mukoko..Mukoko..kwa Djuma shaban 'soja ya bhemba'..Fei toto..anampa FM Kalala ...Kalala kwa FM maliki..Faridi kwa Moloko..Moloko kwa Kibwana..Fei toto..goooooooooaaaaal..

Fei toto..totooo..anapiga semi volley ya hatari hapa,Na kuwapa uongozi wananchi..


Anyways!! Nilikua na test mitambo in Mpenja voice..

Kila la kheri chama langu katika kampeni ya kuchukua point 3 kila mechi pamoja na kutoa burudani kwa wana lindi.

Naimani tutashinda Inshallaaah!!.
Unafamilia?
 
Wale wa simu tucheki kupitia stream gan???
 
Kocha ni Abel wiliam, yes bila shaka hili jina sio geni masikion, hili jina lipo kwenye record za benk za wadaiwa sugu

Ebu tuone itakuwaje
 
Yanga wwnarejea kwenye hali yao ya msimu uliopita. Hawana kasi, wanapoteza mipira mingi, mipango ya kutafuta goli hawana. Sijui tatizo uwanja au ndio wanarejea katika kiwango cha asili yao
Yanga bila Aucho hakuna team
 
Back
Top Bottom