78Kuku
JF-Expert Member
- Mar 31, 2021
- 562
- 756
Kama alivyofungwa Ruvu wakalia mboga mbogaNina hakika atafungwa Namungo wataumia wengine!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama alivyofungwa Ruvu wakalia mboga mbogaNina hakika atafungwa Namungo wataumia wengine!
Unafamilia?..Bangala anampa..Mukoko..Mukoko..kwa Djuma shaban 'soja ya bhemba'..Fei toto..anampa FM Kalala ...Kalala kwa FM maliki..Faridi kwa Moloko..Moloko kwa Kibwana..Fei toto..goooooooooaaaaal..
Fei toto..totooo..anapiga semi volley ya hatari hapa,Na kuwapa uongozi wananchi..
Anyways!! Nilikua na test mitambo in Mpenja voice..
Kila la kheri chama langu katika kampeni ya kuchukua point 3 kila mechi pamoja na kutoa burudani kwa wana lindi.
Naimani tutashinda Inshallaaah!!.
Mlipeni pesa zakeBila Aucho Yanga ni kitayose
Lete matokeoWamwera tupo hapa. Tunatarajia ushindi.
Tumeshatoa maelekezo kwa babu huko nanjilinji atazame.Kichuya kawakosaje hawa washehereshaji?
WamerogaaaaKichuya kawakosaje hawa washehereshaji?
Yanga bila Aucho hakuna teamYanga wwnarejea kwenye hali yao ya msimu uliopita. Hawana kasi, wanapoteza mipira mingi, mipango ya kutafuta goli hawana. Sijui tatizo uwanja au ndio wanarejea katika kiwango cha asili yao
Wanasema tatizo uwanjaYanga wwnarejea kwenye hali yao ya msimu uliopita. Hawana kasi, wanapoteza mipira mingi, mipango ya kutafuta goli hawana. Sijui tatizo uwanja au ndio wanarejea katika kiwango cha asili yao