Ligii kuu Tanzania Bara: Namungo FC 1-1 Yanga SC

Ligii kuu Tanzania Bara: Namungo FC 1-1 Yanga SC

Wana utopolo hawana kabisa imani na team yao,huu uzi umepoaa hakuna anaepitia kuchungulia.

Hapo ndipo utajua kwamba Simba Sc ni team ya kufatiliwa na wengi maana mpaka Sasa uzi ungekuwa page ya 10-15.
 
Yanga wwnarejea kwenye hali yao ya msimu uliopita. Hawana kasi, wanapoteza mipira mingi, mipango ya kutafuta goli hawana. Sijui tatizo uwanja au ndio wanarejea katika kiwango cha asili yao
Waishapotea mpaka saizi kuna vimigogoro vya chinichini vinavyoendelea leo tunaona aucho kagoma kucheza kwasababu hajalipwa

Probably hata hiki kiwango cha leo ni kutokana na wachezaji wameamua kucheza hovyo ili kuwakomoa kina hersi

Kwasababu haiwezekani uwe tayari kuwalipa wachezaji wa timu pinzani inayocheza na simba pesa nyingi ili tu iwafunge simba lakini uko tayari kuwazungusha mshahara wachezaji wako wa ndani wanabaki kulia njaa tu.
 
Ubaki hapa hapa usije kukimbia tu vijana wakianza kutupia.
 
Dakika ya 45 kipindi cha kwanza zikiongezwa dakika 2, mayele haelewi anajiuliza ilikuwaje kuwaje kwa kagere kwa dakika kama hizi awe na goli mbili?
 
Kocha wa Yanga hata kutuliza mpira hawezi😂😂😂

anaudaka kama rede
 
Huyu refa vp?

unapuliza kipenga cha mapumziko wakati mpira uko kwenye.move ya hatari?

non sense
 
Back
Top Bottom