Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna viwanja vibovu zaidi ya hikiWanasema tatizo uwanja
Waishapotea mpaka saizi kuna vimigogoro vya chinichini vinavyoendelea leo tunaona aucho kagoma kucheza kwasababu hajalipwaYanga wwnarejea kwenye hali yao ya msimu uliopita. Hawana kasi, wanapoteza mipira mingi, mipango ya kutafuta goli hawana. Sijui tatizo uwanja au ndio wanarejea katika kiwango cha asili yao
Mmeshindwa kumchunguza manara pamoja na matusi aliyowatukana for century, ndo mumchunguze beki?Huyu beki wetu fala sana. Tutamchunguza. Ukabaji gani ule
Kuna uwanja mbovu kuliko wa ccm kirumba?Wanasema tatizo uwanja
Ubaki hapa hapa usije kukimbia tu vijana wakianza kutupia.Waishapotea mpaka saizi kuna vimigogoro vya chinichini vinavyoendelea leo tunaona aucho kagoma kucheza kwasababu hajalipwa
Probably hata hiki kiwango cha leo ni kutokana na wachezaji wameamua kucheza hovyo ili kuwakomoa kina hersi
Kwasababu haiwezekani uwe tayari kuwalipa wachezaji wa timu pinzani inayocheza na simba pesa nyingi ili tu iwafunge simba lakini uko tayari kuwazungusha mshahara wachezaji wako wa ndani wanabaki kulia njaa tu.
Fikeni bei mapema, hii mechi itawashinda msipoangaliaUbaki hapa hapa usije kukimbia tu vijana wakianza kutupia.
Mukoko alipaishwa sana lakini kiuwezo ni zero kabisaMpaka kocha atakapojua kuwa nafasi anayocheza Mukoko haiwezi ndo atajua pa kumpeleka.
Naskia alikua mtaalamu wa madundoKocha wa Yanga hata kutuliza mpira hawezi😂😂😂
anaudaka kama rede
Kila mtu anajifunzia chengaMoloko anapata tabu sana leooo
😂😂😂Naskia alikua mtaalamu wa madundo
Wake wawili na mtoto mwenye umri wako.Unafamilia?