Ligii kuu Tanzania Bara: Namungo FC 1-1 Yanga SC

Mzee wa iran (makambo) anaingia huku mayele akitoka
 
Ww
Pamoja na uyanga wangu lakini hili tukio limetuvua nguo aibu hii aisee. Yaani refa kafanya fair matukio kadhaa kwenye lango la Yanga kwa kuwanyima Namungo penati. Halafu unatoa penati kwa Yanga tena penati nyepesi mnoo
Wewe siyo Yanga...wewe ni mikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…