Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,179
- 26,188
Subiri uchambuziKwamba sio foul? Acha ukuda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subiri uchambuziKwamba sio foul? Acha ukuda
Soon tu hawa masela wataanza kurudi kule kule,, tff inawahujumu, mo ananunua mechiGenge La Wahuni Wanaomba Huruma Ya Mwamuzi
PenaltyNgap huko
It's football mzeeIlijulikana mapema kabisa kuwa lazima mpate Penalty..!!!
Braza mbona kama umeumia sana [emoji3]Yanga wanasawazisha dakika ya 81 baada ya transaction kufanyika
1 - 1 bossKwahiyo wamechomoa au nin
Pamoja na uyanga wangu lakini hili tukio limetuvua nguo aibu hii aisee. Yaani refa kafanya fair matukio kadhaa kwenye lango la Yanga kwa kuwanyima Namungo penati. Halafu unatoa penati kwa Yanga tena penati nyepesi mnooHakuna refa hapa
Refa kachomoaKwahiyo wamechomoa au nin
Yanga wanasawazisha dakika ya 81 baada ya transaction kufanyika
Huu ni umazafaka
Zile kauli za ubingwa lazima nadhani, mida si mrefu tutaacha kusikia mtaani.Braza mbona kama umeumia sana [emoji3]
1-1Ngap huko
Wewe siyo Yanga...wewe ni mikiaPamoja na uyanga wangu lakini hili tukio limetuvua nguo aibu hii aisee. Yaani refa kafanya fair matukio kadhaa kwenye lango la Yanga kwa kuwanyima Namungo penati. Halafu unatoa penati kwa Yanga tena penati nyepesi mnoo