Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bachiU aint serious bout going to the bigie...r u?
Mwenyekiti jana nilikuwa niko mbingu ya nane nimekuja kuona asubuhi ile PM yako
utanitaliki?
acha uchonganish bwana
...nkiachika ntakuja kwako...
salam lakin?
FP...hivi optimum ni mara ngapi kwa siku...from uzoefu wako..
mie ningemweleza ukweli kwamba sasa sio starehe ni karaha. na ningemnyima.
Atakuomba idhini yako akapunguze munkari kwa hausgeli wenu, je utamruhusu?
Kwa afya, kama mpo wote kila siku, mara moja inatosha........... kwani mpo kwenye mashindano, mnategemea zawadi?
Ishu hapa ni msuguano unaotokea hivyo inamlazimu kukojoa kwenye ndoo iliyojaa maji kunusuru majeruhi yaliopatikana
Utakuja kwangu kwani hautaki kusheaaadig dig acha habar zako
nkiachika utanijua......
Anatumia nafasi yake ya ufadhili kufanikisha mambo yake dawa yako iko jikonion your way to Dom, pitia kwangu........Im sure utaachika na utaenda kwa Pope.
Angalao upite kwangu, mi shemejio nikufute machozi na nifanye utaratibu wa UKOO na yatokanayo.
Jumamosi ulienda kwenye maadhimisho?....hii kauli ikitoka kwa digidigi sina hofu...ila ikitoka kwa mwenye kipawa cha kuvunja nguvu za giza...
kuwa na aman
Uliza CCM wanamjua Rostam vizurimfadhili hanaga madhara kwa bnadamu eva
naenda tu patiwa ukoo then mim ni wako forever n ever!!!!!
Utalikiwe mara ya ngapi?utanitaliki?
usengwile:israel::israel:Am very good Rose....sio uchonganishi ni katika kutake care too.....:tape:
mara 10Utakuja kwangu kwani hautaki kusheaaa
Anatumia nafasi yake ya ufadhili kufanikisha mambo yake dawa yako iko jikoni
Jumamosi ulienda kwenye maadhimisho?
Uliza CCM wanamjua Rostam vizuri
Utalikiwe mara ya ngapi?
tafadhali bibie utakapopewa talaka utujuze, kwani kuna wengine tuna high affinity na waloachika!!!!
Habari za masiku wanaJF wenzangu! Nashukuru mola tumeamka salama salmin....
Kama ilivyo ada kwa Mama kubwa kusakanya ushauri huku na kule pale anapofwatwa na jamii inayomzunguka. Pindi niliporudi safari akaja mwanadada mtanashati kwangu akiomba ushauri afanye nini maana anaona maji yamezidi unga. Mwanadada huyu ameolewa yapata miaka mitatu hivi iliyopita na wamejaaliwa kupata mtoto mmoja anasema walipofunga ndoa walikuwa wanakutana kimwili na mumewe mara tatu kwa wiki...baada tu ya kujifungua mume anataka ligwaride mara tatu kwa usiku yaani kama dozi ya panadoli kama sio Asprini. Anaomba ushauri afanye nini maana wakati mwingine inamlazimu kwenda haja ndogo kwanye ndoo ya maji kupooza huko maana ni hakufai jamaa amemsugua hasa. Nawaombeni tumshauri huyu mama afanyenini kwani ndo ipo mashakani na akikataa kipondo kinafuata
U aint serious bout going to the bigie...r u?
Mama Big kumbe unaijua dozi yangu?:hippie::hippie::hippie: