Ligwaride mara tatu kama dozi ya panadoli kama sio Asprini

Ligwaride mara tatu kama dozi ya panadoli kama sio Asprini

Avunje ukimya azungumze naye kwa msaada wa watu wa marekani :yield:
 
mie ningemweleza ukweli kwamba sasa sio starehe ni karaha. na ningemnyima.
 
Ishu hapa ni msuguano unaotokea hivyo inamlazimu kukojoa kwenye ndoo iliyojaa maji kunusuru majeruhi yaliopatikana

Duu Mamie Big, hii sijaielewa, unamaana anaingia kwenye ndoo na kukojoa humo?
 
dig dig acha habar zako
nkiachika utanijua......
Utakuja kwangu kwani hautaki kusheaaa
on your way to Dom, pitia kwangu........Im sure utaachika na utaenda kwa Pope.
Angalao upite kwangu, mi shemejio nikufute machozi na nifanye utaratibu wa UKOO na yatokanayo.
Anatumia nafasi yake ya ufadhili kufanikisha mambo yake dawa yako iko jikoni
....hii kauli ikitoka kwa digidigi sina hofu...ila ikitoka kwa mwenye kipawa cha kuvunja nguvu za giza...
kuwa na aman
Jumamosi ulienda kwenye maadhimisho?
mfadhili hanaga madhara kwa bnadamu eva
naenda tu patiwa ukoo then mim ni wako forever n ever!!!!!
Uliza CCM wanamjua Rostam vizuri
utanitaliki?
Utalikiwe mara ya ngapi?
 
Utakuja kwangu kwani hautaki kusheaaa

Anatumia nafasi yake ya ufadhili kufanikisha mambo yake dawa yako iko jikoni

Jumamosi ulienda kwenye maadhimisho?

Uliza CCM wanamjua Rostam vizuri

Utalikiwe mara ya ngapi?
mara 10
 
tafadhali bibie utakapopewa talaka utujuze, kwani kuna wengine tuna high affinity na waloachika!!!!

we skutak
utanchokoza ntakonda bure
skutak mieeeee..bacha pita mbele mi sikuwez nkiachika kwa rr bora nibak mjane kuliko kuwa na wewe
 
Habari za masiku wanaJF wenzangu! Nashukuru mola tumeamka salama salmin....
Kama ilivyo ada kwa Mama kubwa kusakanya ushauri huku na kule pale anapofwatwa na jamii inayomzunguka. Pindi niliporudi safari akaja mwanadada mtanashati kwangu akiomba ushauri afanye nini maana anaona maji yamezidi unga. Mwanadada huyu ameolewa yapata miaka mitatu hivi iliyopita na wamejaaliwa kupata mtoto mmoja anasema walipofunga ndoa walikuwa wanakutana kimwili na mumewe mara tatu kwa wiki...baada tu ya kujifungua mume anataka ligwaride mara tatu kwa usiku yaani kama dozi ya panadoli kama sio Asprini. Anaomba ushauri afanye nini maana wakati mwingine inamlazimu kwenda haja ndogo kwanye ndoo ya maji kupooza huko maana ni hakufai jamaa amemsugua hasa. Nawaombeni tumshauri huyu mama afanyenini kwani ndo ipo mashakani na akikataa kipondo kinafuata

Mama Big kumbe unaijua dozi yangu?:hippie::hippie::hippie:
 
Back
Top Bottom