Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Hainaga vipimo uwongo uwongo tuLicha ya kwamba mimi ni Mkristo, leo sitakula nyama sababu mshahara wa mwezi wa pili bado haujatoka
Kwa jìnsi nilivyo nadhifu, kwa jinsi nilivyo na haiba njema, watu wanashangaa sana wakiona sijihusishi na mambo mengi ya dunia, licha ya kiwa nayapenda. Mademu wanapapatika juu yangu nami naumia kwa kushindwa kuwamudu. Nikikatiza mtaani huķu Uswahilini kwetu watoto wananìlilia na kuniita baba...www.jamiiforums.com
Hapa juu ulikua umeajiriwa mwaka huu.
Tangu nilipwe mshahara wa December 2023, sijalipwa hadi leo, nipeni mbinu za kuishi mjini na mke na watoto wanne
Kufanya maongezi marefu yafupike. Nilipokea mshahara wangu wa December 900,000. Baada ya hapo kampuni imekuwa ikipitia changamoto mbalimbali ikiwa ni pamoja na mkurugenzi kuumwa. Maradhi ya mkurugenzi yanasababisha hela karibu yote iende kwenye matibabu. Mshahara wa January sijapewa na wa huu...www.jamiiforums.com
Hapa December 2023 ulikua umeajiriwa na una mke na watoto wanne.
Nisaidieni, najihisi kabisa nimepewa limbwata
Kuna binti anaishi Msasanu, Uswahilini kule Makangira, huyu dada mwenye watoto 3 nilikutana naye mwaka 2019 siku chache kabla ya XMas. Nilimfahamu miaka mingi nyuma tukisoma enzi hizo Kinondoni Muslim yeye alikuwa mbele yangu madarasa mawili, nilishawahi kumtokea lakini akanikataa enzi hizo...www.jamiiforums.com
Hapa 2019 ulisema umeoa na umekutana na classmate aliyekupa limbwata.
Leo umekua bodaboda una lishangazi na mke wako karudi kwao kawa kigoli unawaza kumuoa tena au lishangazi.
kazi kweli kweli vijana.
Ukute anaitwa baba fulani huko kijijini kwao 😁😁😁