Lijishangazi au kademu, nimuoe nani?

Lijishangazi au kademu, nimuoe nani?

Hapa juu ulikua umeajiriwa mwaka huu.

Hapa December 2023 ulikua umeajiriwa na una mke na watoto wanne.

Hapa 2019 ulisema umeoa na umekutana na classmate aliyekupa limbwata.

Leo umekua bodaboda una lishangazi na mke wako karudi kwao kawa kigoli unawaza kumuoa tena au lishangazi.

kazi kweli kweli vijana.
Hainaga vipimo uwongo uwongo tu
Ukute anaitwa baba fulani huko kijijini kwao 😁😁😁
 
Miaka 30 wewe sio kijana tena,bora ukomae na huyo mama mmalizie uzee wenu kuliko kuja kumchanganya binti wa watu, ambae bado ana future na maisha yake ya mbele na wabibi wajane.
Eti miaka 30 sio kijana duuh!
 
Hapa juu ulikua umeajiriwa mwaka huu.

Hapa December 2023 ulikua umeajiriwa na una mke na watoto wanne.

Hapa 2019 ulisema umeoa na umekutana na classmate aliyekupa limbwata.

Leo umekua bodaboda una lishangazi na mke wako karudi kwao kawa kigoli unawaza kumuoa tena au lishangazi.

kazi kweli kweli vijana.
Wazee wa kufukua makaburi ,[emoji1787][emoji1787][emoji1787] safi saana mkuu
 
Back
Top Bottom