Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,462
- 21,124
Uhuru upunguzwehuyu nae anaomba ushaur 😁😁 uhuru umepitiliza sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uhuru upunguzwehuyu nae anaomba ushaur 😁😁 uhuru umepitiliza sasa
NANAOMBA USHAURI
Habari yako mwana JF mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 ninafanya kazi ya bodaboda
Nilikuwa na mpenzi wangu niliyeishi nae kwa miaka 4 sasa na tuna ahadi ya kuoana
Lakini mwaka juzi nilipata abiria MAMA mtu mzima ana miaka kama 45 ni mtu anayejiheshimu na anafanya kazi ya kuuza genge (matunda,nyanya, dagaa na vitu vyengine) tulianza mahusiano ya kibiashara kama bodaboda wake kisha akawa mshauri wangu yaani nikipata tatizo la kutaka ushauri huwa namuona yeye na ananishauri vizur mno maisha yamekwenda hadi akawa mpenzi wangu
Tokea tuwe wapenzi amekuwa mtu muhimu sana katika maisha yangu amenishaur mambo mengi hadi sasa najiona nimepiga hatua kubwa ya kimaisha mwanzoni nilikuwa na pikipiki moja lakin sasa hivi ninazo mbili na pia nimefungua biashara ya kuuza chips na pia nimefungua machine za kuuza juice ya miwa ninakwambia ukweli kabisa mawazo yote haya yametoka kwa huyu mwanamke. Mwanzoni hela yote nilikuwa naimaliza kwa mirungi, kubeti na pombe nashukuru kwa ushauri wake mirungi na kubeti nimeacha kabisa pombe nayo naelekea kuacha kabisa haya yote ni mawazo yake na ushauri wake
Changamoto imekuja kuwa anataka tuoane na mimi sijawahi kumwambia kuwa nina mpenzi mwengine kwa sababu mara nyingi huwa nina lala kwake (mpenzi wangu anaishi kwao)
Napata wakati mgumu wa kufanya maamuzi nifanyeje??
Nampenda huyu Mama kutokana naamini nikiendelea kuwa nae maisha yangu yatazidi kuwa mazuri kutokana na mawazo yake
Lakini pia yule mpenzi wangu nae nampenda sana na ananipenda na nyumbani kwao wananijua japo sio rasmi
WOTE NAWAPENDA SIJUI NIFANYE NINI??
m naona utolewe kabsaUhuru upunguzwe
Ni vurugu tu ilimradi hekahekam naona utolewe kabsa
Muhim tuvurugweNi vurugu tu ilimradi hekaheka
Mpuuzi sana huyuLicha ya kwamba mimi ni Mkristo, leo sitakula nyama sababu mshahara wa mwezi wa pili bado haujatoka
Kwa jìnsi nilivyo nadhifu, kwa jinsi nilivyo na haiba njema, watu wanashangaa sana wakiona sijihusishi na mambo mengi ya dunia, licha ya kiwa nayapenda. Mademu wanapapatika juu yangu nami naumia kwa kushindwa kuwamudu. Nikikatiza mtaani huķu Uswahilini kwetu watoto wananìlilia na kuniita baba...www.jamiiforums.com
Hapa juu ulikua umeajiriwa mwaka huu.
Tangu nilipwe mshahara wa December 2023, sijalipwa hadi leo, nipeni mbinu za kuishi mjini na mke na watoto wanne
Kufanya maongezi marefu yafupike. Nilipokea mshahara wangu wa December 900,000. Baada ya hapo kampuni imekuwa ikipitia changamoto mbalimbali ikiwa ni pamoja na mkurugenzi kuumwa. Maradhi ya mkurugenzi yanasababisha hela karibu yote iende kwenye matibabu. Mshahara wa January sijapewa na wa huu...www.jamiiforums.com
Hapa December 2023 ulikua umeajiriwa na una mke na watoto wanne.
Nisaidieni, najihisi kabisa nimepewa limbwata
Kuna binti anaishi Msasanu, Uswahilini kule Makangira, huyu dada mwenye watoto 3 nilikutana naye mwaka 2019 siku chache kabla ya XMas. Nilimfahamu miaka mingi nyuma tukisoma enzi hizo Kinondoni Muslim yeye alikuwa mbele yangu madarasa mawili, nilishawahi kumtokea lakini akanikataa enzi hizo...www.jamiiforums.com
Hapa 2019 ulisema umeoa na umekutana na classmate aliyekupa limbwata.
Leo umekua bodaboda una lishangazi na mke wako karudi kwao kawa kigoli unawaza kumuoa tena au lishangazi.
kazi kweli kweli vijana.
Mkuu huyu mwàmba bàlaa jibu linalôkatîsha tamaa sàna..Nimecheka kama fala... daah mkuu umemjibu kikatili sana....ha ha ha eti wamalizie uzee
Age goo...NANAOMBA USHAURI
Habari yako mwana JF mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 ninafanya kazi ya bodaboda
Nilikuwa na mpenzi wangu niliyeishi nae kwa miaka 4 sasa na tuna ahadi ya kuoana
Lakini mwaka juzi nilipata abiria MAMA mtu mzima ana miaka kama 45 ni mtu anayejiheshimu na anafanya kazi ya kuuza genge (matunda,nyanya, dagaa na vitu vyengine) tulianza mahusiano ya kibiashara kama bodaboda wake kisha akawa mshauri wangu yaani nikipata tatizo la kutaka ushauri huwa namuona yeye na ananishauri vizur mno maisha yamekwenda hadi akawa mpenzi wangu
Tokea tuwe wapenzi amekuwa mtu muhimu sana katika maisha yangu amenishaur mambo mengi hadi sasa najiona nimepiga hatua kubwa ya kimaisha mwanzoni nilikuwa na pikipiki moja lakin sasa hivi ninazo mbili na pia nimefungua biashara ya kuuza chips na pia nimefungua machine za kuuza juice ya miwa ninakwambia ukweli kabisa mawazo yote haya yametoka kwa huyu mwanamke. Mwanzoni hela yote nilikuwa naimaliza kwa mirungi, kubeti na pombe nashukuru kwa ushauri wake mirungi na kubeti nimeacha kabisa pombe nayo naelekea kuacha kabisa haya yote ni mawazo yake na ushauri wake
Changamoto imekuja kuwa anataka tuoane na mimi sijawahi kumwambia kuwa nina mpenzi mwengine kwa sababu mara nyingi huwa nina lala kwake (mpenzi wangu anaishi kwao)
Napata wakati mgumu wa kufanya maamuzi nifanyeje??
Nampenda huyu Mama kutokana naamini nikiendelea kuwa nae maisha yangu yatazidi kuwa mazuri kutokana na mawazo yake
Lakini pia yule mpenzi wangu nae nampenda sana na ananipenda na nyumbani kwao wananijua japo sio rasmi
WOTE NAWAPENDA SIJUI NIFANYE NINI??
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Licha ya kwamba mimi ni Mkristo, leo sitakula nyama sababu mshahara wa mwezi wa pili bado haujatoka
Kwa jìnsi nilivyo nadhifu, kwa jinsi nilivyo na haiba njema, watu wanashangaa sana wakiona sijihusishi na mambo mengi ya dunia, licha ya kiwa nayapenda. Mademu wanapapatika juu yangu nami naumia kwa kushindwa kuwamudu. Nikikatiza mtaani huķu Uswahilini kwetu watoto wananìlilia na kuniita baba...www.jamiiforums.com
Hapa juu ulikua umeajiriwa mwaka huu.
Tangu nilipwe mshahara wa December 2023, sijalipwa hadi leo, nipeni mbinu za kuishi mjini na mke na watoto wanne
Kufanya maongezi marefu yafupike. Nilipokea mshahara wangu wa December 900,000. Baada ya hapo kampuni imekuwa ikipitia changamoto mbalimbali ikiwa ni pamoja na mkurugenzi kuumwa. Maradhi ya mkurugenzi yanasababisha hela karibu yote iende kwenye matibabu. Mshahara wa January sijapewa na wa huu...www.jamiiforums.com
Hapa December 2023 ulikua umeajiriwa na una mke na watoto wanne.
Nisaidieni, najihisi kabisa nimepewa limbwata
Kuna binti anaishi Msasanu, Uswahilini kule Makangira, huyu dada mwenye watoto 3 nilikutana naye mwaka 2019 siku chache kabla ya XMas. Nilimfahamu miaka mingi nyuma tukisoma enzi hizo Kinondoni Muslim yeye alikuwa mbele yangu madarasa mawili, nilishawahi kumtokea lakini akanikataa enzi hizo...www.jamiiforums.com
Hapa 2019 ulisema umeoa na umekutana na classmate aliyekupa limbwata.
Leo umekua bodaboda una lishangazi na mke wako karudi kwao kawa kigoli unawaza kumuoa tena au lishangazi.
kazi kweli kweli vijana.
MamboAg
Age goo...
Aise jamaa bata kweliLicha ya kwamba mimi ni Mkristo, leo sitakula nyama sababu mshahara wa mwezi wa pili bado haujatoka

Aisee!!! Ndugu wewe kweli ni MHANDISI MZALENDOLicha ya kwamba mimi ni Mkristo, leo sitakula nyama sababu mshahara wa mwezi wa pili bado haujatoka

PoaMambo