mcTobby
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 4,072
- 12,119
Nataka kujua kipindi kile yesu anasulubiwa je, Julius Caesar alikuwa madarakani? Na Je waliomsulubu yesu ni warumi au ni wayahudi wenzake?karibu useme matarajio yako tutashiriki kwa pamoja kujibu kulingana na jinsi Mungu atakavyotuongoza