Lijue Jeshi linalompa kiburi Yahya Jammeh

Hata Mkuu wa Polisi keshasema hatakuwa na utii kwa jameer baada ya leo.
Makamu wa Rais Bw.Issah tou nae kamkwepa jamaa.
Kiufupi Jamaa anatafuta pa kufia.

ajipige risasi hii movie imalizike salama.
 
Pale ni population ya kama milioni mbili na nchi yote imezungukwa na Senegal. Lakini kikubwa zaidi ni kuwa jamaa ameshindwa uchaguzi pamoja na vitisho kwa hiyo ni wazi hana strong ground kupigana na muungano wowote.
Kijiographia hii gambia cjaielewa kbsa, yani ipo katikati ya senegal kwa muundo wa gulf au penisula?
 


Waombe msaada wa Trump masaa mawili yatakuwa mengi! Tena bila kuhitaji ndege kuzurura anga ya Gambi-vitu vinarushwa toka baharini na kazi inaisha ndani ya hayo masaa.

Anyway kinachosubiriwa na Raisi Mpya aapishwe na atoe Amri ya uvamizi kama Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Gambia.
 
Mkuu wewe ni Mhere Mwita wa Geita, kijana wa mzee Mwita wa Ardhi?
Nakupata sana jamaa, kiasi unajielewa, chuo ulishamaliza?
 
ECOWAS hawapendi ujinga kama EAC kwa Museven, Nkurunzinza, Kagame, Bashir. Hawaoni haibu kuitetea demokrasia. Ningekuwa na pesa ya kutosha ningehamia Ghana huku panachosha
 
Marekani ana Bajeti kubwa kuliko Wote Duniani na Kamshindwa Taliban huko Afghanistan kakikundi hata Bajeti ya wapiganaji wao hawana.

Siku zote jeshi sio vifaa au uwingi wa wapiganaji. kama huu ndio uchambuzi wako haina hata haja ya kwenda kutafuta hilo gazeti la Mwananchi.

Unaingia kwenye nchi ambayo wenyewe wanaijua. Wanajua wapi kuna milima, wapi kuna mabonde na wapi tambarare. Mbinu, mipango na mikakati iliyobora siku zote ndio silaha bora na ziletazo ushindi vitani.

ECOWAS wasipokuwa makini watarudi na aibu au kuuwa raia wasiokuwa na hatia. Alichokifanya Jammeh si uungwana ila kuingia kichwa kichwa kwa hao jamaa inaweza ikawaletea casualties nyingi sana.
 
WANAMGAMBO WA OSAMA WALIKUWA 2000 TU LAKINI MMAREKANI ALIPATA TABU SANA KUMSAMBARATISHA
Tofautisha mapambano ya kigaidi na mapambano ya kijeshi. Kwani gaidi ni nani? Anaishi wapi?
 
IVI HUKU NDO KULE KUNA CHUO KIKUU KIMOJA TUU?
HALAFU GEOGRAFIA INASEMA NDO WAKWANZA KUZALISHA KARANGA AFRIKA SIYO

Hii inaonesha ni Jinsi gani Viongozi wako kwa maslahi yao binafsi yani Sanduku la kura linasema Mpinzani wako kashinda halafu wewe unapindua matokeo

Damu za Wasio na hatia(Watoto,Wamama,Vijana,Wazee) hawazionei huruma yani mtu moja anatesa mamia ya watu kwa ajili ya Heshima ya duniani.

Tufike mahali tuseme inatosha kumwaga damu za watu wasio na hatia na kuongeza idadi ya wakimbizi tu
 
Kwani Talibani anatawala leo Afganistani umeshamsikia mullah Omar tena,Taliban wamebaki na Vita ya kujitoa Muhanga na kuvizia ila hawana Ubavu wa kupambana tena kwenye uwanja wa vita tit for tat.

Ya Gambia ni kama yale ya Visiwa vya Comoro(Anjuani) Operation Amphibia mpka Ecowas wanaenda kuatack wanajua kila kitu kuhusu Gambia.

Hakuna Tofauti na yule Jama wa Ivorycoast aliyengangania mwisho wake akaja kutolewa kwa mtutu wa bunduki
 
Kijiographia hii gambia cjaielewa kbsa, yani ipo katikati ya senegal kwa muundo wa gulf au penisula?
Duh! Mkuu mbona unaongea kama wale vijana vwetu wa division five!
Unawezaje kuingia jf na kuandika kitu ukashindwa kuigoogle ramani na kuiona Gambia ilivyo na Senegal! Kwa kifupi na kama Lesotho na South Africa tofauti yenyewe ina kaupenyo ka bahari.
 
Gambia nao ni jipu lingine

hua nashangaa nao wanakuaga mstari wa mbele kutoa wanajeshi wao katika missions za AU na UN za kulinda amani, kuna kipindi jamaa alitoa wanajeshi 200 kwa AU na 100 UN, sasa jeshi lenye wanajeshi buku afu unachangia wanajeshi 300 kwenda kulinda amani

only in Gambia!!
 
Tatizo La Vita Unaweza Ukazania Unapigana Na GAMBIA Kumbe Unapigana Na Nchi Nyingine Huku Ikitumia Kivuli Cha GAMBIA.
Sio kwa muhuni huyu!! Dunia nzima wamemuona jinga na jeshi lililokuwa lina mpa kiburi tayari linaonekana limemtenga hapo sasa!!
 

Ukweli Jamey hawezi kufua dafu kwa ECOMOG.
Kwanza wananchi wengi wa Gambia hawamtaki hivyo watawasaidia majeshi ya ECOWAS.
Vita yaTALIBAN ni Tofauti sana na ya GAMBIA.
Siku zote ukiwa Dikteta jiandae kutolewa kidikteta.
 
Anagekuwa mtumia ndumba angeloga ashinde uchaguzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…