Lijue Kabila la Waluguru na utamaduni wao

Hata nene, MCHIRO, nalawa MKUYUNI!
 
Safi sana Mkuu kwahii umeleta
....unaweza kujua chanzo cha Kabila ya WAKUTU ? yaani lilipoanzia hili Kabila ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi sana Mkuu kwahii umeleta
....unaweza kujua chanzo cha Kabila ya WAKUTU ? yaani lilipoanzia hili Kabila ?

Sent using Jamii Forums mobile app
kwa ujumla wakutu ni waluguru, na pia hata katika koo na lugha zinaonesha ni wamoja kwa mfano, mwinyigoha ndio hao hao kina kobelo, berege,kinoge....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…