mama chupaki
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 940
- 765
Ila watani za waluguru wabishi.huwa mnanifurahisha na kibwagizo chenu cha bhaa au khaaa!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili jina lipo morogoro,Tanga na kilimanjaro pia.Nyange wachaga
ha ha haa,,,,....! ni kweli siye ma tall, wasukuma wanatambua hilo mbona..! halafu sio waongeaji sana, siye wapole sana ngoshaBaba yangu tukiwa kwetu Mwanza aliniambia Waluguru ndiyo viumbe warefu kuliko wote Tanzania. Eti ni kweli?
ha ha haa...! sisi sio wabishi, sema watu wanatusema vibaya, maana maneno kdogo utasikia mluguru huyo, umesahau kibwagizo cha MWEEEH, jaaaah.....! au nyaruwela salambweIla watani za waluguru wabishi.huwa mnanifurahisha na kibwagizo chenu cha bhaa au khaaa!!!
Tehe tehe...ila nilisikia stori moja. Walikuwa wanaeleza kwa nini Waluguru hawakupelekwa utumwani.ha ha haa,,,,....! ni kweli siye ma tall, wasukuma wanatambua hilo mbona..! halafu sio waongeaji sana, siye wapole sana ngosha
...ha ha haaa, hiyo hatari (umeamua kututania sasa mtani), ila nijuavyo kabila zote za pwani (waluguru, wakwere, wakutu, wasambaa, wazaramu n.k..) utumwa uliwapitia mbali kwa sababu walikuwa wajanja wajanja, hawakuwa watu wakutii bila kuhoji, na pia walijenga undugu na wakoloni, ila ma tall tupo wengi, mimi nilienda pale buhongwa mwanza, nikawa nawatazama wasukuma nawaona wadogo dogo tu, ila uluguruni warefu wapo wa kumwaga, karibu matombo/ dutumi kibaha uwaoneTehe tehe...ila nilisikia stori moja. Walikuwa wanaeleza kwa nini Waluguru hawakupelekwa utumwani.
Mkoloni alipofika Morogoro akawa anawapima Watumwa. Unavaa gunia miguuni halafu unakimbia.
Waluguru wakawa wakiingia kwenye gunia wanazama!!! Mkoloni akaona hawa hawanifai
Ila nilihadithiwa tu!!
Vipi mashelisheli yanapatikana?Hata Mimi mluguru, mrefu wa kutosha tu!
Yapo pamoja na mafenesi!Vipi mashelisheli yanapatikana?
Wasukuma wanasema eti nyie warefu sana, ni kweliYapo pamoja na mafenesi!
Sio kweli! Sisi milima imetufupisha!Wasukuma wanasema eti nyie warefu sana, ni kweli
Haaaah. Haaaah. Haaaah. KUTSOPATA! KASOSENGA! KAZORINGA! Nzala! Nzala! Nzala!kumbe mwawengi amno! mleke itabia yenu ya kutsopata...hhhhhh....
😂😂☝🏽 kukiongea sasa ndio shida mimi ila ukiongea nakuelewa kabisaOho...fifo, kwa mgima? Wana wadegeta?