Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,203
- 37,906
Uislam unaruhusu Wazazi wa Mke kuamua Bint yao azikwe wapi!
Niko Msibani, Jamaa yangu kaoa Mluguru, sasa Mke kafariki. Wakwe wametoka Morogoro wamekuja kuchukua mwili wa Mtoto wao wakazike kwao.
Huku Mme na watoto wanataka azikwe Dar huku.
Tuko kwenye kikao
Tunaombea tu Mme na watoto washinde