Lijue Kabila la Waluguru na utamaduni wao

Sisi kelele hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahaa Wacheza vigodoro.loh

Ahaaaa matembezi nilipenda mashelisheli.

Hivi kweli waluguru niwafupi? Mbona niliona na warefu?

Nasikia wana gubu balaa
 
Ahaa Wacheza vigodoro.loh

Ahaaaa matembezi nilipenda mashelisheli.

Hivi kweli waluguru niwafupi? Mbona niliona na warefu?

Nasikia wana gubu balaa
ha haa haa....hatuna gubu watu wanatupakazia tu, karibu tena uje kula mashelisheli. Vigodoro sio shida, shida ipo kwa wachezaji, kuhusu ufupi si kweli, tunafanana tu na wa tz wengine, kama unabisha nenda hedaru, makanya lushoto ukajionee...karibu uje ucheze mdundiko msimu unakaribia..
 
hapo ndo mnaharibu wanaume kucheza sio ishara nzuri kabisa. Afu mtakuwa wavivu sana kiujumla
 
Wazee mwenye file la nyumbani Sumbawanga hadi Katavi aliweke tupate kuwafaham vizuri..
 
Hapana sio kila kitu twala, angalia hapo hakuna nyama ya ng'ombe....ila siunajua hatuwezi kula kila kitu kwa sababu vingine sumu

Mbina Kuleka wangadu, wambuku, mangala ila kweli chaumbile Imulungu tuye twakuja sekulu...
 
kumbe...! wewe wa wapi mtani wetu? ( mzigua, mdigo, mpogoro, mshambaa au wale wakutoka kanda ya ziwa?)
Baba yangu tukiwa kwetu Mwanza aliniambia Waluguru ndiyo viumbe warefu kuliko wote Tanzania. Eti ni kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…