Niko Msibani, Jamaa yangu kaoa Mluguru, sasa Mke kafariki. Wakwe wametoka Morogoro wamekuja kuchukua mwili wa Mtoto wao wakazike kwao.
Huku Mme na watoto wanataka azikwe Dar huku.
Tuko kwenye kikao
Tunaombea tu Mme na watoto washinde
Kwa nini mila zenu ukioa unapewa kiwanja ukweni ujenge uishi na mkeo? Na wakati mwingine unaweza hata kuishi hapo hapo kwa wakwe na mkeo? Nimeyashuhudia haya.