Huyu kwa kweli atakuwa ametangulia mbele.RIP MZEE KIJANA
Isingewezekana kabisa yeye kutooonekana humu JF, hata kama angekuwa kalazwa.
Atakuwa amekufa, au yupo jela..
Lakini je, hiyo nadharia yake vipi inamashiko?
Kuna uwezekano wowote wa hao "Mabwanyenye wa CHADEMA (nakubali jina hili ni sahihi), wao ndio wawe na mchango mkubwa wa uwepo wa hizi takataka ijulikanayo kama "Mtandao"?
Dhana hii inashawishi, hata kama inakamba ndefu ya kuwa na ushawishi.
Huyu Yohana Mbatizaji, hakuwa na yeyote humu JF anayejuliana naye hali kwa karibu, maana huyo ndiye angetaarifu kilichompata huyu mzee.