Lijue soko la HISA

ahsante mkuu, je ni financial products zipi ambazo ni more profitable?

Products zote zinalipa. Unatakiwa kuwekeza kwenye kujifunza na analysis.
Niambie mtaji wako nikupe product itakayokufaa.
So far kuna;
Comodity market.
ETF's
Shares
Bonds
Bills
Debentures
 
Davion Delmonte Jr.
mkuu naomba nisaidie, je ninahitaji niwe na kiasi gani kuanzia kununua hisa, au minimum natakiwa kununua hisa ngapi?

je muda minimum wa kuuza hisa ni siku ngapi baada ya kununua hisa?
ahsante.
Company nyingi zinahitaji atleast kwa kuanzia ununue hisa 100 kwenda juu so kama hisa moja inauzwa Tsh 1400 then hapo zidisha kwa hisa 100 utapata Tsh 140,000 hio ndio pesa ya kuanzia.
 
Products zote zinalipa. Unatakiwa kuwekeza kwenye kujifunza na analysis.
Niambie mtaji wako nikupe product itakayokufaa.
So far kuna;
Comodity market.
ETF's
Shares
Bonds
Bills
Debentures
nikiwa na mtaji wa 5 million hivi.?
 
Company nyingi zinahitaji atleast kwa kuanzia ununue hisa 100 kwenda juu so kama hisa moja inauzwa Tsh 1400 then hapo zidisha kwa hisa 100 utapata Tsh 140,000 hio ndio pesa ya kuanzia.
oooh kumbe inawezekana shukrani.
 
Company nyingi zinahitaji atleast kwa kuanzia ununue hisa 100 kwenda juu so kama hisa moja inauzwa Tsh 1400 then hapo zidisha kwa hisa 100 utapata Tsh 140,000 hio ndio pesa ya kuanzia.
Kuuza hisa zako itategemea demand na supply ya hizo hisa sokoni zikoje, kwa mfano ukinunua hisa za Uchumi Supermarket leo hii, usitegemee kuziuza hizo sokoni Siku za karibuni sababu hakuna demand ya share hizo kutoka kwa wanunuzi wa hisa. So utaziuza hisa zako pale unapoona Zina demand kubwa wkt huo.
 
nikiwa na mtaji wa 5 million hivi.?

Ningekushauri ununue treasury bonds za 15 yrs zenye interest rate ya arround 15-19%annually. Pamoja na hayo unanunua kwa discounts. Kwahiyo kila mwaka unapata 15% ya 5M. Na baada ya hiyo miaka 15 unarudishiwa 5M yako.
So after 15 yrs unapata (15%*15yrs*5M)+5M.

Kama ungekuwa deep kwenye analysis ya hizi products, ningekushauri ufanye Forex Trading. Ukidhamiria kwa nia moja unaweza.
CC Davion Delmonte Jr.
 
Company nyingi zinahitaji atleast kwa kuanzia ununue hisa 100 kwenda juu so kama hisa moja inauzwa Tsh 1400 then hapo zidisha kwa hisa 100 utapata Tsh 140,000 hio ndio pesa ya kuanzia.

Kwenye IPO sawa. Ila kwa daily trading kupitia brokers hasa kwa makampuni ambayo yalishakuwa listed unaweza kununua hisa hata moja.
 
Umempa ushauri mzuri, kwenye forex kama bado hajaiva asiingie kwanza. Atafute investment nyingine kama kwenye bonds ama a trade stocks
 
Davion Delmonte Jr.
mkuu naomba nisaidie, je ninahitaji niwe na kiasi gani kuanzia kununua hisa, au minimum natakiwa kununua hisa ngapi?

je muda minimum wa kuuza hisa ni siku ngapi baada ya kununua hisa?
ahsante.
Anza na ulichonacho hata kama ni kidogo na ndio vizuri.

Ni uamuzi wako tu, unaweza nunua leo ukauza kesho
 
Inabidi lile wazo letu la kuanza kuwafanyia watu consultancy tulifanyie kazi.
Wengi wanatamani kufanya ila hawana mwanga.
Itabidi tu renew tena, ila that time hawakuonesha msukumo wa kujifunza but now naona watu wengi wapo interested sana. Ntakutafuta tuongee
 
Kiongozi tusaidie process nzima za kuanza kununua Hisa from point 0.. ni kwamba tunatafuta hao mawakala au tunaenda kwenye kampuni ndio wanatudirect kwa mawakala? ama tunatafuta wanauza hizo hisa? Na kipi bora kati ya kununua hisa kwenye Kampuni au kwa mtu aneuza? msaada mkuu...
 
Aiseee nahitaji ufafanuzi zaidi kuhusu swala la hisa maana Ni kitu nakiwish sana
 
Hivi kuna uwezekano wa kununua hisa za makampuni za nje ya nchi? Kama uwezekano upo, taratibu zake zipoje?
 
Nimependa Sana somo, natamani niingie kwenye hii biashara hata kesho, lakini nashindwa kujua wapi nitapata taarifa kwamba kampuni fulani inauza hisa zake? Msaada wa kupata taarifa za makapuni yanayouza hisa pia na watu au mtu anayeweza kukushauri kwamba kampuni gani nzuri katika soko la hisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…