APEFACE
JF-Expert Member
- Oct 1, 2016
- 5,316
- 9,596
Mkuu mimi swali langu nauliza hizo treasury bond na bills dhamana yake ni ya muda gani...na minimal amount ya kuzinunua ni kiasi gani na unaweza kuwatumia pia madalali wa stock exchange pia..???.msaada tafadhaliHabarini wana jukwaa, leo nimejiskia kuandika kuhusu soko la hisa kwa hapa Tanzania. Nimeona baadhi ya watu walikua wakiuliza sasa si vibaya hata wakapata kufahamu ni kitu gani hichi. Huu utakuwa ni mwendelezo wa zile mada zangu za uwekezaji kwenye dhamana za serikali (treasury bond + bills)
Asanteni sana, nawatakia uwekezaji mwema
Vince Forum