Lijue soko la HISA


Asante sana Mungu akubariki!
 
kwa kuongezea tu ni kuwa. kabla ya kufanya investment decision inabid ufanye fundamental analysis na technical analysis. hapo pia uutakuja kupata jawabu la how to make portifolio diversification ili uondokane na risk.

ila wadau mimi kama xpert wa investment nashauri mtafte aina fulan za shares zinaitwa prefared shares kuliko hizi common shares.

ktk common shares kampuni ikifa baasi na wewe mtaji wako ndo kushnei, ila katila prefared shares hata kampuni ikifa au iki undergo loss you are safe. sasa sijui kama kuna makampuni huko home tz yanatoa hii kitu.


all in all kwa investers wachanga tunashauri saana wawekeze katka bond. so kama unataka kuwekeza hebu mtafte brocker ( mshenga hisa kw kiswahili fasaha) akupe maelekezo vizuri ili usije ingia choo cha watoto kakalia poti. kila la kheri
 
Itabidi tu renew tena, ila that time hawakuonesha msukumo wa kujifunza but now naona watu wengi wapo interested sana. Ntakutafuta tuongee
Naomba kuuliza mkuu kama unahitaji kununua baada ya miez minne uuze inakuaje?
 
Nitajuaje kama kampuni niliyoweka hisa zangu ina under go loss au profit na kama ni profit je nitajuaje kama ni maximum profit au normal profit
 
Hii topic ya cku nyingi, lakin cheki wachangiaji hakuna kabisa, ila zingekuja ishu za ukawa hapa nusu saa page zishafika kumi.
Ndio maana umasikini ni moja ya madhaifu yetu wabongo......hatuna muda wa kujifunza mambo ya msingi yatayotutoa hapa tulipo ili tusonge ila tumewekeza kwenye umbea .....unafiki......kupoteza muda na mambo yasiyo ya msingi....ngono na anasa au starehe......majitu majinga kabisa.
 
Asante kwa elimu. Naomba utusaidie maana ya maneno unayoyatumi eg dividend, securities, mfano mimi najua security ni usalama, mlinzi wa usalama???
Acha uzembe na wewe kila kitu unataka utafuniwe na kumezewa pia.........hayo maneno ukigoogle maelezo yanakuja vizuri tena ni kwa lugha nyepesi kuelewa hata mtoto wa elimu ya msingi anayeweza kusoma kiingereza.
 
Mkuu davion juz nimesikiaa hawa jamaa wa mawasilianoo wanatakaa kuuzaa asilimiaa 20 ya hisaa sasa sijaelewaa vzr km unataarifaa nzurii ni juzee mkuuu
 
Mada murua kabisa. Kwa muda mrefu nimekuwa interested ktk hii kitu hope year 2017 ntaanza rasmi
 
Pia kwa wale mtakaokuwa interested mnicheki whatsapp niwaunge kwenye kundi la mafunzo ya bitcoin... usiwekeze kabla ya kuielewa vizuri 0713774746
 
Asante. Naomba ufafanuzi wa hii prefared shares,unasema hapa Tz yawezekana hazipo?
 
Mada murua kabisa. Kwa muda mrefu nimekuwa interested ktk hii kitu hope year 2017 ntaanza rasmi
Tuiombee hii JF iwepo hadi mwaka kesho. Mimi binafsi,silali bila kupitia hii forum ya Biashara,Uchumi na Ujasiriamali. Nimejifunza mengi ambayo sikuwahi kuyajua,na mengine nimepractice kwa mafanikio.
 
Wakuu,

Naona kwa sasa kampuni nyingi zimeanza kuuza hisa zao, natamani sana kushiriki kwenye umiliki wa kampuni kwa kununua hisa ila tatizo sijui jinsi gani hisa zinaendeshwa na kwa namna gani nawezapata kunufaika kupitia hisa hizo.

Msaada kwenye tuta wakuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…