Habarini wana jukwaa, leo nimejiskia kuandika kuhusu soko la hisa kwa hapa Tanzania. Nimeona baadhi ya watu walikua wakiuliza sasa si vibaya hata wakapata kufahamu ni kitu gani hichi. Huu utakuwa ni mwendelezo wa zile mada zangu za uwekezaji kwenye dhamana za serikali (treasury bond + bills)
Asanteni sana, nawatakia uwekezaji mwema
Vince Forum