slimdaddy 1993
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 212
- 138
hahaaaahTangu umejiunga jf 2010 mpaka leo, wewe ni wa kulilia likes?
Aibu nimeona Mimi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaaaahTangu umejiunga jf 2010 mpaka leo, wewe ni wa kulilia likes?
Aibu nimeona Mimi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Likes ni ticket ya kwenda mbinguni mkuu, Rohombaya amenitonya hivyo mwache alie lie tu.Tangu umejiunga jf 2010 mpaka leo, wewe ni wa kulilia likes?
Aibu nimeona Mimi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda ma pointless😂😂😂😂
Mkuu umeamua kutuonyesha mikia, daah Mungu akutie nguvu.
Ukweli ni kuwa umezeeka na akina Demiss na katoto kazuri wameshika hatamu. Hujui likes zinamiminwa na watafuta k?Nina ukame wa like hata nikiandika mapoint watu wanapita kushoto. Cha kushangaza utaona mtu anakoment neno moja tu 'Du" zinamiminika, acheni ubaguzi.
Watu mna mambo na vijambo sasa hapa si unananiumbua best?Nikinyoa napata muwasho wa ajabu
Nikishave nawashwa mpaka natamani kujikuna mbele za watu msaada tafadhaliwww.jamiiforums.com
Kwa huu uzi nilikupa like kama zote mkuu, maana hapa ulitupia nondo sio za nchi ya viwanda....tehteehh [emoji23][emoji23][emoji23]
Asante ndege nahamia CCM huko hakuna ukame malike ya kufa mtu.[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji2536][emoji106][emoji2536][emoji106][emoji2536][emoji106][emoji2536][emoji106][emoji2536][emoji106][emoji2536][emoji106][emoji2536][emoji106][emoji2536][emoji106][emoji2536][emoji106][emoji2536][emoji106][emoji2536][emoji106][emoji2536][emoji106][emoji2536][emoji106][emoji2536][emoji106][emoji2536][emoji106][emoji2536][emoji106][emoji2536][emoji106][emoji2536][emoji106][emoji2536][emoji106][emoji2536][emoji106][emoji2536][emoji106][emoji2536][emoji106][emoji2536][emoji106][emoji2536][emoji106][emoji2536][emoji106][emoji2536][emoji106][emoji2536][emoji106][emoji2536][emoji106][emoji2536][emoji106][emoji2536][emoji106][emoji2536][emoji106][emoji2536][emoji106][emoji2536][emoji106][emoji2536][emoji106][emoji2536][emoji106][emoji2536][emoji106][emoji2536][emoji106][emoji2536][emoji106][emoji2536][emoji106][emoji2536][emoji106][emoji2536][emoji106][emoji2536][emoji106][emoji2536][emoji106][emoji2536][emoji106][emoji2536][emoji106][emoji2536][emoji106][emoji2536][emoji106][emoji2536][emoji106][emoji2536][emoji106][emoji2536]
Sihitaji shari ndugu,Like zinatumika kufanyia nini mfano, au naweza nikazitumia kununua vifurushi vya bando
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaahaaa.....Watu mna mambo na vijambo sasa hapa si unananiumbua best?
Acha ukorofi brazaNikinyoa napata muwasho wa ajabu
Nikishave nawashwa mpaka natamani kujikuna mbele za watu msaada tafadhaliwww.jamiiforums.com
Kwa huu uzi nilikupa like kama zote mkuu, maana hapa ulitupia nondo sio za nchi ya viwanda....tehteehh [emoji23][emoji23][emoji23]