Mkomavu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2016
- 11,769
- 16,799
Nimekupa likes ukihitaji zaidi nenda kwenye ule uzi wa likes andika chochote utapata likes za kutoshaNina ukame wa like hata nikiandika mapoint watu wanapita kushoto. Cha kushangaza utaona mtu anakoment neno moja tu 'Du" zinamiminika, acheni ubaguzi.
Sent using Jamii Forums mobile app