Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,622
- 8,427
Umofia kwenu wanaJF,
Namba moja ana elimu ya hapa na pale ikiwa imesheni vyeti vya elimu ya chini vya kutosha.
Pia binti yake ambaye amekabidhiwa kitengo nyeti kuhusu elimu na yeye elimu yake ni kama Mama nayo ni ya hapa na pale imejaa vyeti vya ngazi za chini kibao.