Kurzweil JF-Expert Member Joined May 25, 2011 Posts 6,622 Reaction score 8,427 Nov 18, 2025 #1 Umofia kwenu wanaJF, Namba moja ana elimu ya hapa na pale ikiwa imesheni vyeti vya elimu ya chini vya kutosha. Pia binti yake ambaye amekabidhiwa kitengo nyeti kuhusu elimu na yeye elimu yake ni kama Mama nayo ni ya hapa na pale imejaa vyeti vya ngazi za chini kibao.
Umofia kwenu wanaJF, Namba moja ana elimu ya hapa na pale ikiwa imesheni vyeti vya elimu ya chini vya kutosha. Pia binti yake ambaye amekabidhiwa kitengo nyeti kuhusu elimu na yeye elimu yake ni kama Mama nayo ni ya hapa na pale imejaa vyeti vya ngazi za chini kibao.
uberimae fidei JF-Expert Member Joined Dec 16, 2016 Posts 2,789 Reaction score 4,461 Nov 18, 2025 #2 Elimu za kuunga unga na degree za kikuda"nimemnukuu Roma mkatoliki
Ncha Kali JF-Expert Member Joined Sep 19, 2019 Posts 15,418 Reaction score 29,432 Nov 18, 2025 #3 Elimu haihitajiki katika nchi ile.
Phoenix JF-Expert Member Joined Sep 6, 2012 Posts 10,592 Reaction score 15,490 Nov 18, 2025 #4 Tunda,halianguki mbali na mti.
Kurzweil JF-Expert Member Joined May 25, 2011 Posts 6,622 Reaction score 8,427 Nov 18, 2025 Thread starter #5 Kwa kifupi wote wana vyeti mbalimbali
AXIOM APEX VERBOSE JF-Expert Member Joined Sep 12, 2022 Posts 13,769 Reaction score 23,676 Nov 18, 2025 #6 Phoenix said: Tunda,halianguki mbali na mti. Click to expand... Maana yake nini? Halafu tuambie Tanzania ilipata Uhuru mwaka gani? Kisha tuendelee....
Phoenix said: Tunda,halianguki mbali na mti. Click to expand... Maana yake nini? Halafu tuambie Tanzania ilipata Uhuru mwaka gani? Kisha tuendelee....
Mr Devil JF-Expert Member Joined Jul 7, 2019 Posts 15,410 Reaction score 35,923 Nov 18, 2025 #7 Ogopa sana Cv inaishia na neno " Na elimu mbali mbali "
Mjusi Sharobalo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2025 Posts 8,306 Reaction score 14,632 Nov 18, 2025 #8 Mbogamboga ni watu hatari sana ndani ya Taifa hili.
K Kodo dyako JF-Expert Member Joined Nov 18, 2025 Posts 318 Reaction score 409 Nov 21, 2025 #9 Kodo dyako said: ELimu ya hapa na pale...yani mara mapishi..mara hospitality..mara upambaji😀😀😀 Click to expand...
Kodo dyako said: ELimu ya hapa na pale...yani mara mapishi..mara hospitality..mara upambaji😀😀😀 Click to expand...
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 55,787 Reaction score 131,638 Nov 21, 2025 #10 Nakumbuka wakati wa kusimikwa hata tbccm walishindwa kabisa kunadi elimu yake, yaani huwezi kusema ukaeleweka. Anyway, inasikitisha sana kupewa dhamana ya taifa kwa namna mtu alivyopata hiyo elimu yake.
Nakumbuka wakati wa kusimikwa hata tbccm walishindwa kabisa kunadi elimu yake, yaani huwezi kusema ukaeleweka. Anyway, inasikitisha sana kupewa dhamana ya taifa kwa namna mtu alivyopata hiyo elimu yake.