Like Toefl n IELTS exams, Tanzania's UDSM to start offering international accredited Kiswahili language exams globally

Ume-copy mahali!
 
Aisee!!
 
Unapenda sana ligi za kitoto Geza.
Hii ilikuwa 59th graduation ceremony ya UoN, Phds from the Kiswahili Department. Jihesabie vichwa wewe mwenyewe.
Umeombwa "source" umekimbia, ninyi wakenya ni watu wa hovyo sana, akili zenu ni ndogo sana, unadhani unaweza kutudanganya wakati uwezo wenu wa kufikiria ni mdogo?, kama mnadanganywa na wanasiasa wenu na kuwaibia, huwezi kutudanganya wa bongo. Hivi mna akili kweli ninyi?
 
Una dhiki sana wewe mzee. 61st graduation ceremony ya UoN ilikuwa mwaka huu wa 2019. Ukiangalia address ya hiyo image inasoma 59th graduation ceremony-2017. Acha nikuache na majungu yako.
Lete "source "uliyoombwa. Kila kitu mnadanganya, stupid.
 
Sijasoma kitabu chochote cha mtanzania,nikiwa primary nilisoma ken walibora na wala bin wala wote wakenya ,high school pia waandishi wa vitabu nilivyovisoma wote wakenya including tamthilia.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Stupidity at its best.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
A person has a choice to choose which language to use ,some Kenyans prefer English to Swahili and that can not stop the fact that Swahili originated from pate island in lamu .

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Also the late Prof Sheikh Ahmed Mohamed Nabhany alifunza Kiswahili hio University of Dar
Bila kumsahau marehemu Ali mazurui , Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema akhera,mchango wake Kwa lugha yetu hii tamu ya Kiswahili hauwezi ukasahaulika,by the way naomba mchango wenu Mimi na rafiki zangu tupo tunaandika kitabu cha Kiswahili ambacho kitatumika marekani na Caribbean Kwa ajili ya kuwafunza blacks hii lugha yetu tamu ,napokea michango kutoka pande zote.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Sijasoma kitabu chochote cha mtanzania,nikiwa primary nilisoma ken walibora na wala bin wala wote wakenya ,high school pia waandishi wa vitabu nilivyovisoma wote wakenya including tamthilia.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app

Was born, raised n educated in Tanzania. A product of tanzania. Birth certificate from Tanzania! He even uses twiga a Tanzanian national iconic animal on all legal tenders.

Hahahaha!. kindumbwendumbwe ni hatari sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…