Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
- #61
Ume-copy mahali!Wanafunzi wenzangu walikuwa haweshi kunionea gere. Waliposikia kwamba nilikuwa kikojozi, nalowesha matandiko usiku na kukijaza chumba harufu mbaya, (na nafikiri Malkia Maube ndiye aliyewatobolea siri) wakaniimbia, “Kindumbwendumbwe charia, Kikojozi kakojoa, na nguo kazitia moto!”
Mabezo yao yasiyoisha na hisia zangu za kujihisi dhalili vilinipandisha Ibilisi wangu hasira aliyekuwa kanionya mama kumhusu....................