Like Toefl n IELTS exams, Tanzania's UDSM to start offering international accredited Kiswahili language exams globally

Like Toefl n IELTS exams, Tanzania's UDSM to start offering international accredited Kiswahili language exams globally

Unapenda sana ligi za kitoto Geza.
59th%20Graduation.JPG
Hii ilikuwa 59th graduation ceremony ya UoN, Phds from the Kiswahili Department. Jihesabie vichwa wewe mwenyewe.
 
Boss, una uhakika kwamba unataka ushahidi wa Phd holder kutoka UDSM akisema kwamba Ghadaffi alikuwa rais wa Yemen? Mara ya mwisho nilipopost hiyo video hapa Jf ilifungwa kwa muda. Itisha tena uone nikichomoa betri. [emoji38]
Hahahahaaaa, ndio tatizo la mtu kujifanya anajua kila kitu. Yaani hapo hawawezi kumkataa maana ni mwanafunzi wao toka diploma mpaka PhD. Kwanza kusoma shahada tatu katika chuo kimoja sio jambo zuri. Ni msomi mzuri katika fani yake, tatizo ni pale anapoibukia nyanja ambazo hana uelewa mpana hasa uchumi na sayansi ya siasa.
 
wewe Mwanamke unapenda uchokozi, wakikutukana humu unaanza kung’aka,
Nyie wenye kiswahili mlifundishwa matumizi ya tafsida kwa somo la fasihi maana yale matusi huwa mnanitukana huwa nawashangaa sana.
I don't feel bad when you people insult me otherwise ningeshatoka humu kitambo. I've never been afraid of sadists
Cc babayao255 Venus Star
 
Kama huo mtihani wa Kiswahili proficiency madhumuni yake ni kueneza na kukuza Kiswahili kinyume na yale ya TOEFL na IELTS, hakuna atakayefanya huo mtihani.
Kueneza na Kukuza r relative context have nothing with waving proficiency! Alliance Français wana fundisha pia kifaransa na wana mitihani ya Proficiency pia!
 
Nyie wenye kiswahili mlifundishwa matumizi ya tafsida kwa somo la fasihi maana yale matusi huwa mnanitukana huwa nawashangaa sana.
I don't feel bad when you people insult me otherwise ningeshatoka humu kitambo. I've never been afraid of sadists
Cc babayao255 Venus Star
Nani akutukane wewe!? Tatizo lako ni kulialia. Ukiguswa kidogo tu unaaza kupayuka. Weka kichwani kuwa mtenda hutendwa. Ukiongea mbovu mbovu kwa mtu ukipewa za uso vumilia. Huo ndio ukomavu.
 
Nani akutukane wewe!? Tatizo lako ni kulialia. Ukiguswa kidogo tu unaaza kupayuka. Weka kichwani kuwa mtenda hutendwa. Ukiongea mbovu mbovu kwa mtu ukipewa za uso vumilia. Huo ndio ukomavu.
Wewe umewahi ona nikitukanana au nikilialia sababu ya kutukanwa? Nyinyi huwa mnanitukana mkibanwa sana na hoja za watu humu. Ili kujifariji na kuondoa aibu huwa mnanimwagia matusi & when I retaliate you play the victims naishia kulishwa ban n u don't
 
Wewe shosho nakujua sana tabia yako ya kuongea mbovu kwa watu ukijibiwa mbovu unaanza kulia lia,
Hoja gani unayo wewe 😂😂😂 hoja utoe wapi.
 
Wewe umewahi ona nikitukanana au nikilialia sababu ya kutukanwa? Nyinyi huwa mnanitukana mkibanwa sana na hoja za watu humu. Ili kujifariji na kuondoa aibu huwa mnanimwagia matusi & when I retaliate you play the victims naishia kulishwa ban n u don't
Hizi Adverts zimeisha sasa. Leta point tukuone kama kichwa kimekaa vizuri.
 
Unapenda sana ligi za kitoto Geza.
59th%20Graduation.JPG
Hii ilikuwa 59th graduation ceremony ya UoN, Phds from the Kiswahili Department. Jihesabie vichwa wewe mwenyewe.

ametoa hapa eliakeem ! akili ya mafi!
61st Graduation Ceremony
Printer-friendly versionPDF version
Date and time:
Wed, 2019-07-17 10:00
Location / Venue:
Chancellor's Court, University of Nairobi
Share: Facebook Twitter Google Plus Yahoo LinkedIn Digg Delicious
59th%20Graduation.JPG

The University of Nairobi 61st Graduation Ceremony for Colleges of Agriculture and Veterinary Sciences, Architecture and Engineering, Biological and Physical Sciences, Education and External Studies and ODeL Campus, is set to be held on Friday, September 6th, 2019, commencing at 8.00am. at the Chancellor's Court, Main Campus.
See pamphlet
Expiry Date:
Thu, 2019-10-31 12:24
Contact Person:
Director, GS

Manyang'au yanatamani kuipata hiyo fursa lakini bahati mbaya yameangukia pua na Kiswahili chao cha kuokoteza kwenye slums za kibera!
 
Back
Top Bottom