Likizo Geresha ya Pasaka

Likizo Geresha ya Pasaka

Mlenge

R I P
Joined
Oct 31, 2006
Posts
2,125
Reaction score
2,306
Shule za msingi na sekondari zimefungwa. Lakini kwa sasa, baadhi ya mashule, yanalazimisha wanafunzi, hasa walio kwenye madarasa ya mitihani, warudi shule "kwa masomo ya ziada".

Wanapuuza, amri/maelekezo/ushauri toka mamlaka husika kwamba wanafunzi wawe likizo kuanzia tarehe fulani hadi fulani. Likizo ya Pasaka wameifanya imekuwa geresha tu.

/Rant
 
Hakuna kitu kinaitwa likizo ya Pasaka katika Tanzania.
 
Shule za msingi na sekondari zimefungwa. Lakini kwa sasa, baadhi ya mashule, yanalazimisha wanafunzi, hasa walio kwenye madarasa ya mitihani, warudi shule "kwa masomo ya ziada".

Wanapuuza, amri/maelekezo/ushauri toka mamlaka husika kwamba wanafunzi wawe likizo kuanzia tarehe fulani hadi fulani. Likizo ya Pasaka wameifanya imekuwa geresha tu.

/Rant
Ujue Wazazi wengi wanajua kwamba ili mtoto awe na akili anatakiwa kusoma muda wote, yaani no kupumzika wala nini, huu ni ujinga mtupu
 
Kuna shule nilisomaga sasa mkuu wa shule alisoma Urusi, aiseee yaani Siku ya kufungwa shule alikuwa anatutangazia kabisa nendeni mkapumzike,

Alituambia wazi, likizo ni swala la kisayansi, kupumzisha ubongo, alikuwa hata hata tukasome Tuition alitaka tupumzike kama ni kutembelea ndugu tukatembelee,

Hakukuwaga na sijui kidsto cha nne au cha sita wabaki wakati wa likizo hio biashara alikuwa hataki kabisa
 
Hiyo ni faida kwa mtoto wako, hizo "mamlaka husika" watoto wao hawasomi hiyo shule unayoilalamikia.
Watch out!
Faida gani? Ndo mnavyo danganywa kwamba January hadi December mtoto anatakiwa kusoma tu?

Mtoto kama hana akili hana, na likizo ni ishu ya kisayansi ndo maana zikawepo likizo, ndo maana makazini pia kuna likizo,
 
Mkuu shukuru tu maana hapo ni kati ya waalimu watoto wa wakulima na nyinyi wazazi na wanafunzi wakulima ili wafaulu.hakiharibiki kitu labda kama kuna pesa zinatozwa.
Ule muda wa kawaida wa masomo unatosha mno mtoto kuelewa kila kitu,

Huu ni usanii na walimu walisha jua wazazi wengi ni wajinga wajinga na hizi ndo njia za kuwapiga pesa
 
Mkuu sioni kama hilo jibu utapata hapa zaidi nenda shule usika onana na mwalimu mkuu ata kupa jibu sahihi. Nyongeza mpaka walimu wamefanya hivyo wanasababu zao za msingi sio kwamba na wao hawataki pumzika wana choka sana tu ila wamejali watoto wenu wakaona na hali ya kimasomo walio nayo ni bora wapate mda wa ziada. Tukiwa wakulalamika kila kitu sio vizuri wiki moja mtoto kwenda shule kupata elimu sioni shida wangekuwa wana kwenda kulima sawa.
 
Napingana na wewe mapumziko yana mchango mkubwa sana kwenye ufaulu.

Hasa kwenye sikukuu kama hizi isitoshe ni wiki moja tu.

Take it from me...
Wazazi wengi nao ni wale wale mkuu, wazazi wengi haya hawayajui kabisa ni fullu Vihiyo, ndo hawa watoto wao wa Chekechea eti wakifunga wanaenda tuition, au watoto usiku hawalali wanafanya Homework maswali 60, na mazazi anajisifu kumbe ujinga.

Wazazi ndo wa kulamumu na sio walimu
 
Hii likizo ni ya wiki 2, siyo 1!
Hata kama ingekuwa mwezi likizo ni hitaji la kiafya, Hizi huwa ni njia za kuwapiga wazazi pesa na cha ajabu mtihani ukija shule hio hio haina hata Division 3 wote ni Four na Zero za kutosha.

Mtoto kama ana akili anazo tu na kama hana hana hata asome masaa 24
 
Mkuu sioni kama hilo jibu utapata hapa zaidi nenda shule usika onana na mwalimu mkuu ata kupa jibu sahihi. Nyongeza mpaka walimu wamefanya hivyo wanasababu zao za msingi sio kwamba na wao hawataki pumzika wana choka sana tu ila wamejali watoto wenu wakaona na hali ya kimasomo walio nayo ni bora wapate mda wa ziada. Tukiwa wakulalamika kila kitu sio vizuri wiki moja mtoto kwenda shule kupata elimu sioni shida wangekuwa wana kwenda kulima sawa.
Hakuna sababu za msingi wanafanya biashara, Muda wa kawaida wa masomo walikuwa hawafundishi? Au watoto walikuwa wanalima?

Wazazi wajinga wajinga ndo wanao kubaliana na huu uhuni
 
Hakuna sababu za msingi wanafanya biashara, Muda wa kawaida wa masomo walikuwa hawafundishi? Au watoto walikuwa wanalima?

Wazazi wajinga wajinga ndo wanao kubaliana na huu uhuni
Je wanavyo kwenda shuleni sasahivi kuna pesa yoyote ya ziada wana watoza?
 
Ujue Wazazi wengi wanajua kwamba ili mtoto awe na akili anatakiwa kusoma muda wote, yaani no kupumzika wala nini, huu ni ujinga mtupu
Hawa ndio watoto wao wa darasa la kwanza wana twisheni nne...anatoka nyumbani saa 11 asubuhi anarudi saa moja usiku na likizo kama hii anasoma twisheni au walimu ndio kama hawa wanawalazimisha waende shule!
 
Back
Top Bottom