Napingana na weweHiyo ni faida kwa mtoto wako,hizo "mamlaka husika" watoto wao hawasomi hiyo shule unayoilalamikia.
Watch out!
Hii likizo ni ya wiki 2, siyo 1!Napingana na wewe mapumziko yana mchango mkubwa sana kwenye ufaulu.
Hasa kwenye sikukuu kama hizi isitoshe ni wiki moja tu.
Take it from me...
Ujue Wazazi wengi wanajua kwamba ili mtoto awe na akili anatakiwa kusoma muda wote, yaani no kupumzika wala nini, huu ni ujinga mtupuShule za msingi na sekondari zimefungwa. Lakini kwa sasa, baadhi ya mashule, yanalazimisha wanafunzi, hasa walio kwenye madarasa ya mitihani, warudi shule "kwa masomo ya ziada".
Wanapuuza, amri/maelekezo/ushauri toka mamlaka husika kwamba wanafunzi wawe likizo kuanzia tarehe fulani hadi fulani. Likizo ya Pasaka wameifanya imekuwa geresha tu.
/Rant
Kuna shule nilisomaga sasa mkuu wa shule alisoma Urusi, aiseee yaani Siku ya kufungwa shule alikuwa anatutangazia kabisa nendeni mkapumzike,Shule za msingi na sekondari zimefungwa. Lakini kwa sasa, baadhi ya mashule, yanalazimisha wanafunzi, hasa walio kwenye madarasa ya mitihani, warudi shule "kwa masomo ya ziada".
Wanapuuza, amri/maelekezo/ushauri toka mamlaka husika kwamba wanafunzi wawe likizo kuanzia tarehe fulani hadi fulani. Likizo ya Pasaka wameifanya imekuwa geresha tu.
/Rant
Faida gani? Ndo mnavyo danganywa kwamba January hadi December mtoto anatakiwa kusoma tu?Hiyo ni faida kwa mtoto wako, hizo "mamlaka husika" watoto wao hawasomi hiyo shule unayoilalamikia.
Watch out!
Ule muda wa kawaida wa masomo unatosha mno mtoto kuelewa kila kitu,Mkuu shukuru tu maana hapo ni kati ya waalimu watoto wa wakulima na nyinyi wazazi na wanafunzi wakulima ili wafaulu.hakiharibiki kitu labda kama kuna pesa zinatozwa.
Wazazi wengi nao ni wale wale mkuu, wazazi wengi haya hawayajui kabisa ni fullu Vihiyo, ndo hawa watoto wao wa Chekechea eti wakifunga wanaenda tuition, au watoto usiku hawalali wanafanya Homework maswali 60, na mazazi anajisifu kumbe ujinga.Napingana na wewe mapumziko yana mchango mkubwa sana kwenye ufaulu.
Hasa kwenye sikukuu kama hizi isitoshe ni wiki moja tu.
Take it from me...
Hata kama ingekuwa mwezi likizo ni hitaji la kiafya, Hizi huwa ni njia za kuwapiga wazazi pesa na cha ajabu mtihani ukija shule hio hio haina hata Division 3 wote ni Four na Zero za kutosha.Hii likizo ni ya wiki 2, siyo 1!
Hakuna sababu za msingi wanafanya biashara, Muda wa kawaida wa masomo walikuwa hawafundishi? Au watoto walikuwa wanalima?Mkuu sioni kama hilo jibu utapata hapa zaidi nenda shule usika onana na mwalimu mkuu ata kupa jibu sahihi. Nyongeza mpaka walimu wamefanya hivyo wanasababu zao za msingi sio kwamba na wao hawataki pumzika wana choka sana tu ila wamejali watoto wenu wakaona na hali ya kimasomo walio nayo ni bora wapate mda wa ziada. Tukiwa wakulalamika kila kitu sio vizuri wiki moja mtoto kwenda shule kupata elimu sioni shida wangekuwa wana kwenda kulima sawa.
Je wanavyo kwenda shuleni sasahivi kuna pesa yoyote ya ziada wana watoza?Hakuna sababu za msingi wanafanya biashara, Muda wa kawaida wa masomo walikuwa hawafundishi? Au watoto walikuwa wanalima?
Wazazi wajinga wajinga ndo wanao kubaliana na huu uhuni
HAKUNA faida kwa mtoto mkuu bali ni HASARA ya KUDUMU wengi hawajuiHiyo ni faida kwa mtoto wako, hizo "mamlaka husika" watoto wao hawasomi hiyo shule unayoilalamikia.
Watch out!
Hawa ndio watoto wao wa darasa la kwanza wana twisheni nne...anatoka nyumbani saa 11 asubuhi anarudi saa moja usiku na likizo kama hii anasoma twisheni au walimu ndio kama hawa wanawalazimisha waende shule!Ujue Wazazi wengi wanajua kwamba ili mtoto awe na akili anatakiwa kusoma muda wote, yaani no kupumzika wala nini, huu ni ujinga mtupu