Pre GE2025 Likizo inaisha lini?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huu ndio ule ushauri uliopewa na daktari wako ulipopatwa na ule ukichaa ambao bado haujapona vizuri mpaka sasa?
 
Nimeleewa fasihi lkn pia na wewe umepotea sana hapa Jukwaani.
 
Kama huna D 2 hauwezi elewa[emoji106]
 
Good morning to you boss, uli miss ka sana.
Tunakukaribisha tena.
Nimerudi salama boss tupo pamoja
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Karibu tena bhana
Kama kawa kama dawa..!πŸ‘ŒπŸΏ
Sijasoma kilichoandikwa ila karibu tena jukwaani Mlozi mwandamizi.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™πŸΎπŸ™πŸΎ
Karibu Tena ndugu mshana karibu kwenye kilinge cha waganga wa Simba SC club inabidi mfanye sana ulozi mwaka huu msiwe wa tatu kwenye ligi adios amigos @Cc ephen_ View attachment 3054751
πŸ˜‚πŸ˜‚ nitakuja na Uzi wa amphibia
Sema tena jezi za Yanga zina laana
Sio laana tuu na gund
Tunaojua kusoma tabia za watu...

Aliyeandika hapa si mshana...

Kama ni yeye, lipo jambo.
Ni mimi mwenyewe kabisa
Karibu sana Mshana Jr jf ilikumiss
❀❀❀much loveπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎ
Afadhali nimekuona, nilidhani kutokuonekana kwako muda mrefu huenda ni mmojawapo wa member walioaga dunia kumbe uko hai. Safi sana, tupe madini yako tuliyoyakosa kwa kipindi upo mapumzikoni yametokea mengi
πŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎ
🀣

sema ulivamia kambi wakakusweka kilingeni
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Karibu tena bwashee. Watu walikuwa na hofu sana kwa kupotea kwako jukwaani!
Nipo salama mkuu na nimepanda daraja baada ya kuhitimu na kufaulu kozi ya juu zaidi
Mzee baba kuna aina nyingi ya likizo hii umeitaja ni aina moja ambayo ni annual leave...

Nyingine ni SICK LEAVE, compassionate leave, maternity leave n.k
πŸ˜€ nimechagua 'the most common'
Nimeleewa fasihi lkn pia na wewe umepotea sana hapa Jukwaani.
Mimi nimerejea tusubiri wengineπŸ˜€
 
Karibu Sana Mkuu!
Mchambuzi wa Mambo Magumu Hapa Jf

Kuhusu Likizo Tunahesabu Zimebaki Siku 20 tu
 
Good morning to you boss, uli miss ka sana.
Tunakukaribisha tena.
Nimerudi salama boss tupo pamoja
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Karibu tena bhana
Kama kawa kama dawa.. Karibu Tena ndugu mshana karibu kwenye kilinge cha waganga wa Simba SC club inabidi mfanye sana ulozi mwaka huu msiwe wa tatu kwenye ligi adios amigos @Cc ephen_ View attachment 3054751

Karibu sana bro makande hujaja nayo toka upareni 🀣🀣🀣
Makande yameisha ila tunguli kama zote,πŸ˜‚
 
Mkuu kabla hujafanya "personal attack" kwa mtoa mada. Je! Umeielewa mantiki ya nukuu ya maneno yaliyopo katika hitimisho lake?

" ,..likizo ya kisheria ni wiki nne! Zikiisha hizi hujarudi kibaruani ni aidha kati ya haya
1. Kuzidisha tetesi
2. Breaking news..."
 
Wewe ndio hujaelewa mada,umeisoma first paragraph yake lakini? halafu hapo hakuna personal attack yeyote ,huo ndio ukweli wenyewe ambao chawa wake hamuwezi kuukubali,

Mimi sijacomment kwa hilo unalodai kua ni hitimisho lake,sijajadili kuhusu yeye kumsema RC ambaye anadaiwa kua yupo likizo,nimeielewa mada yote kuliko wewe uliyejikita kuelewa kwenye hitimisho lake tu.
 
Mkuu mshana karibu tena kutoka kwenye likizo yako.
Unamaanisha tetesi au breaking news ya R-Chuga.
 
Good morning to you boss, uli miss ka sana.
Tunakukaribisha tena.
Nimerudi salama boss tupo pamoja
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Karibu tena bhana
Kama kawa kama dawa.. Karibu Tena ndugu mshana karibu kwenye kilinge cha waganga wa Simba SC club inabidi mfanye sana ulozi mwaka huu msiwe wa tatu kwenye ligi adios amigos @Cc ephen_ View attachment 3054751
πŸ˜‚πŸ˜‚ nitakuja na Uzi wa amphibia
Sema tena jezi za Yanga zina laana
Sio laana tuu na gund
Tunaojua kusoma tabia za watu...

Aliyeandika hapa si mshana...

Kama ni yeye, lipo jambo.
Ni mimi mwenyewe kabisa
Karibu sana Mshana Jr jf ilikumiss
❀❀❀much loveπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎ
Afadhali nimekuona, nilidhani kutokuonekana kwako muda mrefu huenda ni mmojawapo wa member walioaga dunia kumbe uko hai. Safi sana, tupe madini yako tuliyoyakosa kwa kipindi upo mapumzikoni yametokea mengi
πŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎ
🀣

sema ulivamia kambi wakakusweka kilingeni
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Karibu tena bwashee. Watu walikuwa na hofu sana kwa kupotea kwako jukwaani!
Nipo salama mkuu na nimepanda daraja baada ya kuhitimu na kufaulu kozi ya juu zaidi
Mzee baba kuna aina nyingi ya likizo hii umeitaja ni aina moja ambayo ni annual leave...

Nyingine ni SICK LEAVE, compassionate leave, maternity leave n.k
πŸ˜€ nimechagua 'the most common'
Nimeleewa fasihi lkn pia na wewe umepotea sana hapa Jukwaani.
Mimi nimerejea tusubiri wengineπŸ˜€
Karibu sana bro makande hujaja nayo toka upareni 🀣🀣🀣
Makande yameisha ila tunguli kama zote,πŸ˜‚
Mkuu mshana karibu tena kutoka kwenye likizo yako.
Unamaanisha tetesi au breaking news ya R-Chuga.
Shukrani mkuu hayo mengine mkuu NO COMMMENTπŸ˜‚
 
Sawa mkuu
 
Likizo ya kutafuta viwezeshi vya ushindi wa uchaguzi, natumai umefanikiwa kiasi japo si haba.
 
mkuu Mshana Jr
 
Good morning to you boss, uli miss ka sana.
Tunakukaribisha tena.
Nimerudi salama boss tupo pamoja
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Karibu tena bhana
Kama kawa kama dawa.. Karibu Tena ndugu mshana karibu kwenye kilinge cha waganga wa Simba SC club inabidi mfanye sana ulozi mwaka huu msiwe wa tatu kwenye ligi adios amigos @Cc ephen_ View attachment 3054751
πŸ˜‚πŸ˜‚ nitakuja na Uzi wa amphibia
Sema tena jezi za Yanga zina laana
Sio laana tuu na gund
Tunaojua kusoma tabia za watu...

Aliyeandika hapa si mshana...

Kama ni yeye, lipo jambo.
Ni mimi mwenyewe kabisa
Karibu sana Mshana Jr jf ilikumiss
❀❀❀much loveπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎ
Afadhali nimekuona, nilidhani kutokuonekana kwako muda mrefu huenda ni mmojawapo wa member walioaga dunia kumbe uko hai. Safi sana, tupe madini yako tuliyoyakosa kwa kipindi upo mapumzikoni yametokea mengi
πŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎ
🀣

sema ulivamia kambi wakakusweka kilingeni
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Karibu tena bwashee. Watu walikuwa na hofu sana kwa kupotea kwako jukwaani!
Nipo salama mkuu na nimepanda daraja baada ya kuhitimu na kufaulu kozi ya juu zaidi
Mzee baba kuna aina nyingi ya likizo hii umeitaja ni aina moja ambayo ni annual leave...

Nyingine ni SICK LEAVE, compassionate leave, maternity leave n.k
πŸ˜€ nimechagua 'the most common'
Nimeleewa fasihi lkn pia na wewe umepotea sana hapa Jukwaani.
Mimi nimerejea tusubiri wengineπŸ˜€
Karibu sana bro makande hujaja nayo toka upareni 🀣🀣🀣
Makande yameisha ila tunguli kama zote,πŸ˜‚
Mkuu mshana karibu tena kutoka kwenye likizo yako.
Unamaanisha tetesi au breaking news ya R-Chuga.
Shukrani mkuu
Karibu tena ankali Mshana Jr tulikumis kwenye uzi pendwa hebu selfika kwanza
β€β€β€πŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…