Mpyena
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 981
- 1,243
read between the lines!Wala hakuna aliyekua anajua kama ulikua likizo au hukua likizo zaidi ya hao chawa wako tu wanakuabudu,acha kujipa umuhimu usiokua nao,huna impact yeyote hapa zaidi ya kujaza server za JF kwa mada za kishirikina tu,
Umerudia kwenye zile zile mada zako za kufikirika,huna jipya.