Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #81
Nimerudi salama boss tupo pamojaGood morning to you boss, uli miss ka sana.
Tunakukaribisha tena.
Kama kawa kama dawa.. Karibu Tena ndugu mshana karibu kwenye kilinge cha waganga wa Simba SC club inabidi mfanye sana ulozi mwaka huu msiwe wa tatu kwenye ligi adios amigos @Cc ephen_ View attachment 3054751ππππ Karibu tena bhana
ππ nitakuja na Uzi wa amphibia
Sio laana tuu na gundSema tena jezi za Yanga zina laana
Ni mimi mwenyewe kabisaTunaojua kusoma tabia za watu...
Aliyeandika hapa si mshana...
Kama ni yeye, lipo jambo.
β€β€β€much loveππΎππΎππΎKaribu sana Mshana Jr jf ilikumiss
ππΎππΎππΎππΎAfadhali nimekuona, nilidhani kutokuonekana kwako muda mrefu huenda ni mmojawapo wa member walioaga dunia kumbe uko hai. Safi sana, tupe madini yako tuliyoyakosa kwa kipindi upo mapumzikoni yametokea mengi
π€£
πππsema ulivamia kambi wakakusweka kilingeni
Nipo salama mkuu na nimepanda daraja baada ya kuhitimu na kufaulu kozi ya juu zaidiKaribu tena bwashee. Watu walikuwa na hofu sana kwa kupotea kwako jukwaani!
π nimechagua 'the most common'Mzee baba kuna aina nyingi ya likizo hii umeitaja ni aina moja ambayo ni annual leave...
Nyingine ni SICK LEAVE, compassionate leave, maternity leave n.k
Mimi nimerejea tusubiri wengineπNimeleewa fasihi lkn pia na wewe umepotea sana hapa Jukwaani.
Makande yameisha ila tunguli kama zote,πKaribu sana bro makande hujaja nayo toka upareni π€£π€£π€£
Shukrani mkuuMkuu mshana karibu tena kutoka kwenye likizo yako.
Unamaanisha tetesi au breaking news ya R-Chuga.
β€β€β€ππΎKaribu tena ankali Mshana Jr tulikumis kwenye uzi pendwa hebu selfika kwanza