Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliyosema Mwanakijiji sio siri......viko kwenye public domain.....!
Pamoja na hayo wale makamanda wa RPA waliotekwa pamoja na vijana wao wa M23 bado wananyweshwa supu...!
Source:
Jeshi la Wananchi Tz ‏@JW_TZ 6h Vita imefika Def Con 003, ni ushindi wa 96%, Hii inatokana na kufanikiwa kukamata mateka 2602 ikiwemo maafisa wa juu wa 4 wa Jeshi la Rwanda
Kitengo cha habari cha JWTZ kinaona ni vema na haki kwa wananchi kuwa na taarifa, halafu wananchi wenyewe wanataka iwe siri! Ajabu kabisa!Nashauri kwa upendo kabisa na uzalendo wa hali ya juu kwamba kuna baadhi ya habari si za kuanika humu, maana hujui adui zako nao wakizisoma watafanya nini, suala la vita ni nyeti sana na hivyo tuwe makini na tunayoweka humu.
Mkuu Crashwise naona unataka kuwaponza, kule hakuna "nchale" ni makombora na kichapo kwa kwenda mbele.
Nawaonea huruma rafiki zangu walioamua kuwa wafunga buti.
Mwanakijiji kupaza hizi habari hata kama Ka-inzi kamekambia katoa faida kwa Tanzania au kwa adui?
Hamna vita wala nini. Umbea tu umewajaa wanaume kama mabinti.
Endelea kuota tuu..kwa taarifa yako kagame ana support ya jeshi la kenya na uganda plus jeshi lake la rwanda..sasa jwtz watawezaje kupambana na majeshi yote hayo? Acheni ushabiki na siasa kwa vitu kama hivi.ni muhimu sana kwa jeshi letu kuwa tayari muda wowote kwa batalian za Tabora, kigoma, bukoba etc, ili rwanda wakianza kuchakazwa upande wa drc na makomandoo wa tz, makomandoo wengine wa tz waanze kuwaingilia kinyume upande huu wa bukoba kigoma tuwaminye katikati ya kigali. sijui kagame atakimbilia wapi, idi amini alikimbilia libya, jwtz walikuta ikulu iko empty, kagame kila mtu anamchukia sijui atakimbilia wapi. na kule drc nina uhakika fdlr wataunga mkono jeshi linalopiga kutokea kule. kama kweli tutaamua kumchapa, tunatakiwa kuchapa hadi ikulu, hata akisema haya basi nanyoosha mikono kuwe na cease fire, sisi tuendelee kupiga hakuna cha msamaha hadi arudi msituni.
Hamna vita wala nini. Umbea tu umewajaa wanaume kama mabinti.
huyo kagame akifa mimi siwezi kulia nitamtupa rusumo awe chakula cha mamba...hakika ni kichapo tu
huko siyo mtwara au comoro..wabakaji nyie..
bora wangeliweka liMwigulu front line likajifia. Nalichukia sana
Naipenda sana Tanzania