Likizo na Pasi Zasitishwa JWTZ. Waliokuwa likizo waitwa warudi kambini

Likizo na Pasi Zasitishwa JWTZ. Waliokuwa likizo waitwa warudi kambini

Status
Not open for further replies.
Sipendi vita: Ila linapokuja suala la Rais wa nchi yangu kukashifiwa na nchi jirani hujiona nimedharauliwa sana!! J.K nchi yote tuko nyuma yako: Ikiwezekana apigwe huyu "nduli" mtoto. Nafikiri ilikuwa ni makosa sana kuruhusu ajiunge na E.A.C!!

chanzo cha vita ni nini?
 
Nawashangaa wakazi hasa wazee wa Kagera. Kwa nini wako kimya? UKIMWI wao, vita ya Idd Amin wao, MV Bukoba wao. Tafadhali zuieni huyu Kikwete.
 
usiri gani wakati kuna kamanda yule wa jeshi aliyetorokea rwanda, alikuwa na siri zote alikuwa anampa kagame kuhusu jeshi letu. Kagame amekuwa akispy jeshi na nchi zinazozunguka ili atuweke nchi zinazomzunguka mfukoni/kiganjani kama alivyowaweka wanyarwanda. Kuna viongozi wengi tu wa jeshi na serikali ni wanyarwanda na hawana royalty kabisa na tz. Ni muhimu nchi yetu ianze screening katika kila sector, wanajulikana hawajajificha.

wabunge wanaoafiki waseme ndio

ndiooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo

wasioafiki waseme hapana



walioafiki wameshinda
 
Tanzania hatuna usiri wa vitu nyeti kama hivi?.

Mimi mwenyewe napata kigugumizi mkuu. Yaani tunajianika nje nje hata maadui wajue eti tumeanza kujiweka tayari.
Mbona sisi hatusikii habari za wenzetu juu ya hili?
Nahisi ifikie wakati jeshi lijiweke sawa kuimarisha nidhamu ya usiri ndani ya wanajeshi wake. Am sure hao walioweka bayana hizi habari nyeti ni hao hao wanajeshi wenyewe wamemwambia civilian na hapa ndipo tulipofikia.
Nchi inakuwa hatarini zaidi habari za kijeshi zinapovujia nje kwa wananchi.
 
hivi ndege ya jeshi la nchi nyingine ilituaje KIA na kubeba wanyama hai JWTZ walikuwa likizo..
 
Tanzania hatuna usiri wa vitu nyeti kama hivi?.

Ina maana una-question integrity ya hii habari kupitia kichaka cha usiri?

Soma hapa...
Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limesitisha wapiganaji wake kwenda likizo na kuwaita waliokuwa likizo kurudi makambini. Kwa mujibu wa vyanzo vya ndani kabisa vya kiinteligensia vijulikanavyo kama ‘KAINZI’ uamuzi huo umeenda sambamba na kuweka hali ya utayari wa kijeshi (military readiness) kufikia asilimia 50; katika hali ya utulivu na amani nchini hali ya utayari wa kijeshi inakuwa kwenye asilimia 25 hivi.


Kwa mujibu wa chanzo changu hicho ambacho kimekuwa kikifuatilia mwitikio wa vyombo vyetu vya usalama kufuatia kuongezeka kwa hali ya utete katika eneo la maziwa mazuri vikosi vya jeshi nchini kufikia jana vilikuwa vimesomewa taarifa hiyo ya kusitisha likizo na hata pasi za kutoka makambani huku maafisa wake ambao walikuwa nje ya vituo vyao vya kazi wakitakiwa kurudi makambini. Uamuzi huu hata hivyo haijawa wazi kama unahusu wapiganaji wote nchini au wa Brigedia za Tabora au Brigedia za vikosi maalum.

Baadhi ya vikosi vilisomewa taarifa hiyo jana
 
msiwe wepesi wa kwenda mtwara kubaka dada zetu nendeni mkabake wanyarwanda..

Walicho tufanyia hawa baadh ya JWTZ. Kwa watanzania wenzetu,siwezi wapenda,mungu awabariki Wanajeshi wenye maadili TU,wanaowapiga watanzania wenzao walaaniwe nawependa wanajeshi wenye nidhamu pekee
 
Mwanajeshi gani kavujisha siri kamwambia Mwanakijiji mipango ya Jeshi letu.

Wanajeshi wanamna hii ni hatari kwa kutoa siri wanaweza hata kusaidiana na maadui zetu kutuhujumu.

Mkuu wa majeshi kuwa makini na vijana wako.

Military strategic propaganda, with benefit. Relax!
 
kwani sikuona bomu la arusha? Bega la nani yulee... Nani vile.. Najuaaa... mfano nikifa ntakua kwenye list ya mashujaa.. Poa tu.. Kulinda nchi yangu dhidi ya adui yeyote yule.
 
hivi ndege ya jeshi la nchi nyingine ilituaje KIA na kubeba wanyama hai JWTZ walikuwa likizo..

eti mkuu! General Shimbo kaiba weeee kapelekwa ubalozi China. Daaah. CCM ni kama kundi la IRIS
 
Nawashangaa wakazi hasa wazee wa Kagera. Kwa nini wako kimya? UKIMWI wao, vita ya Idd Amin wao, MV Bukoba wao. Tafadhali zuieni huyu Kikwete.

Mbona haujamalizia,WIZI,UNYAN'GANYI NA UHARIBIFU WA MAZINGIRA UNAOLETWA NA WAHAMIAJI HARAMU WAO!.
 
Sikatai kuandaliwa kwa haya majeshi, ila swali langu najiuliza, hivi kwa mfano Tanzania ikaingia kwenye vita na nchi yoyote kwenye eneo la maziwa mkuu ni kwa FAIDA ya nani? Maana watanzania tusidanganywe kuwa vita yoyote ni kwa faida ya WATANZANIA. Maana mimi hata haya malumbano ya TANZANIA na RWANDA sijui msingi wake ni nini. Raisi wetu alitoa ushauri wa Kagame, well and good, however, yeye kuna mangapi mabaya yanafanyika ndani ya nchi yake na ajachukua hatua? Maana tusitengeneze mazingira ya hatari ya kujitakia halafu baadae yakaonekana na kwa faida ya watanzania. This is totally wrong and unacceptable. Watawala wengi wa Afrika na wakiwemo wengine wa Tanzania kazi yao ni kufanya mambo kwa maslahi yao....Kabla ya hii nchi kupelekwa kwenye vita aidha za maneno au za silaha, watanzania tuambiwe hayo mavita yana faida gani kwa WATANZANIA na WANYARWANDA. Tusipelekwe kichwa kichwa tu. Hawa viongozi wetu wanarushiana maneno ila sisi WATANZANIA na WANYARWANDA bila shaka tunahitaji kuishi kwa umoja na undugu.

Mimi naomba watuambie kwanza hizi vita za maneno au za silaha ni kwa maslahi ya nani?
 
Mwanakijiji kwanini umevujisha taarifa na mipango ya ndani ya jeshi letu ingali mapema? Is this not alerting our enemy? Hii post sijaifurahia ingawa ni nzuri.

Napendekeza thread going iwe banned, ifungwe kwani inahatarisha usalama wa nchi, na maadui wanasoma mwelekeo wetu.
 
Mungu ibariki Tanzania na watu wake mungu bariki JWTZ ikiwezekana waseme hata kesho twende volunteers hawa manyang'au wasichezee hii ardhi yetu
Waweza kuwa miongoni mwa wale 'wazee wa keyboards' ambao wanahamasisha mabadiliko bila hata kwenda kupiga kura siku za uchaguzi, beware!
 
kabla hatujaanza kuwachapa tuwafukuze kwanza waliopo serikalini...kudadadeki
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom