Mkuu kila la heri...tunakutakia mapumziko mema na yenye furaha.mzee wa mia na wengine wamekusikia..hivi ndio umewaaga hivyo wenyeji wa unako brush viatu?....:A S-coffee:
Baada ya kubrash na kushona viatu kwa muda mrefu(toka jan........),..sasa nataka nipumzike kidogo.Kuanzia week ijayo ntakua dar then mby...Mungu akijaalia mpaka songea
My concern:...ningependa kukutana na wenyeji wa jf_hasa mby na songea....
nawasilisha wakuu
likizo yenyewe iko tight sana sijui kwenu wadau ikoje ila kwangu haipo vizuri kwani mitihani kibao ya chuo.
kwa hiyo sisi wa Dar ndio hatukutani na wewe.......?
duuuuuuuuu_mpaka sasa ni kappa,..hakuna hata jf member kwenye mikoa tajwa hapo juu.
Ingekuwa mwezi ujao tungekutana mbeya,
Ila kwa sasa tayari nina tiketi ya Dar express ya tar 23/12 kuelekea moshi,
Wasalimie wote utakobahatika kuwaona huko.
karibu,tutafutane bas japo tufahamiane tu
Usijali broda,nitakuletea zawadi ya kisusio uonjea najua hukijui kbs lol!Haya da canta......ntawasalimia wote,.......usiache kuwasalimia wa moshi ukifika plz
Usijali nitakustua,ukifika moshi nishtue!
Baada ya kubrash na kushona viatu kwa muda mrefu(toka jan........),..sasa nataka nipumzike kidogo.Kuanzia week ijayo ntakua dar then mby...Mungu akijaalia mpaka songea
My concern:...ningependa kukutana na wenyeji wa jf_hasa mby na songea....
nawasilisha wakuu
Asante Kipipi,Mi nawapenda kweli watu wa Moshi, ukirudi niletee maparachichi ya Rombo!!
Asante Kipipi,
Usijali japo kwetu sio rombo but hata kwetu yapo,
Na mie nawapenda watu wa kwenu japo sijui ni wapi lol!