Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Unataka ya miaka mitano? Au kumi kabisa? 🤣 🤣 🤣 🤷♂️ ☝️Sawa basi. Wakati huo design haikuwa imekamilika. Sasa hivi design imekamilika na engineers wa Kenha wanaipitia ili kuielewa na kuiapprove. So very soon ujenzi utaanza.
Mwaka huu hautaisha kabla ya ujenzi kuanza. You can take that to the bank.Unataka ya miaka mitano? Au kumi kabisa? 🤣 🤣 🤣 🤷♂️ ☝️
noted and saved ! Nitakukumbusha December..!Mwaka huu hautaisha kabla ya ujenzi kuanza. You can take that to the bank.
Okay3 years umeitoa mat*koni au wapi? Huu uzi ulianzishwa Dec 2019 yaani almost January 2020. So hata miaka miwili bado haijafika. It's just 1 year and 4 months since the thread was started.
Sawa basi. Wakati huo design haikuwa imekamilika. Sasa hivi design imekamilika na engineers wa Kenha wanaipitia ili kuielewa na kuiapprove. So very soon ujenzi utaanza.
Kweli, kuna sehemu nne tofauti wameanza kuchukua sample ya mchanga. This thing is for realThey have started to collect soil samples at the extreme ends where the bridge will fall.things about to happen in mombasa.