Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Unataka ya miaka mitano? Au kumi kabisa? 🤣 🤣 🤣 🤷♂️ ☝️Sawa basi. Wakati huo design haikuwa imekamilika. Sasa hivi design imekamilika na engineers wa Kenha wanaipitia ili kuielewa na kuiapprove. So very soon ujenzi utaanza.