Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
By June mwaka kesho hii maneno itakuwa patamu sana! inabidi JPM asiwaache hawa wakorea esp. awatumie kujenga tunnel Magogoni-Kigamboni! Ili Kigamboni ifunguke zaidi kwa leisure na business activities!Hawa jamaa wanatembea kwa kasi ya kimbunga[emoji573][emoji573][emoji573][emoji573][emoji573]
Namwamin sana mzee kwenye swala la tunnel hawezi tuangusha na kuweka vilaza...tunahitaji mabadiliko yalio na speed ya kweliBy June mwaka kesho hii maneno itakuwa patamu sana! inabidi JPM asiwaache hawa wakorea esp. awatumie kujenga tunnel Magogoni-Kigamboni! Ili Kigamboni ifunguke zaidi kwa leisure na business!
By June mwaka kesho hii maneno itakuwa patamu sana! inabidi JPM asiwaache hawa wakorea esp. awatumie kujenga tunnel Magogoni-Kigamboni! Ili Kigamboni ifunguke zaidi kwa leisure na business activities!
Wakenya bado wanaongelea likoni??🤣🤣🤣🤣
Basi si mje mtupite kwenye Gdp basi kama ninyi ni wabaya sana.Mziki hawauwezi huu wanajengewa pedestrian bridge!
Basi si mje mtupite kwenye Gdp basi kama ninyi ni wabaya sana.
Ukishindwa unaanza kulia kuwa Gdp ni fake. Unajua vizuri kuwa hamuwezi kutupita kwenye Gdp wala GNI per capita.Hatuna haja na kuipita fake GDP ya kupika inayoshindwa ku-meet obligation zake kama ku-service the debt! Kigongo-Busisi bridge is around $300 mln n all raised from our smaller GDP of $60 bln! imagine Likoni bridge that is less than 1 km can not be built by a country of $100 bln! What's the use of that big figure? to qualify urself for more bigger debts?
Work begins on 3.2km bridge over Lake Victoria
Tanzania’s president has laid the foundation stone for the Kigongo-Busisi Bridge, which will cross the southern end of Lake Victoria.
President John Magufuli said that construction of the 3.2km bridge will enhance the movement of people and goods, curb marine accidents and promote trade in the region around the lake as well as neighbouring countries. Tanzania, Uganda and Kenya all border the lake; Burundi and Rwanda are nearby.
![]()
The bridge will link Kigongo and Busisi, connecting Tanzania’s Mwanza and Geita regions. It is billed as the longest in East Africa and the sixth longest in Africa. Its construction will be undertaken by China Civil Engineering Construction Group and the China Railway 15th Bureau and it will be financed by the Tanzanian government at a cost of approximately US$295 million.
Completion is scheduled for July 2023.
Works, transport and communications minister Isaack Kamwelwe said that, in addition to the Kigongo-Busisi Bridge, the government is overseeing construction of six major bridge projects, namely Wami (Pwani), Magara (Manyara), Sukuma (Mwanza), Kitengule (Kagera), Msingi (Singida), Ruhuhu (Ruvuma) and Selander (Dar es Salaam).
Work begins on 3.2km bridge over Lake Victoria - Bridge Design & Engineering (Bd & e)
Ukishindwa unaanza kulia kuwa Gdp ni fake. Unajua vizuri kuwa hamuwezi kutupita kwenye Gdp wala GNI per capita.
Tony254 hii maneno imeishia wapi?It looks like all the financial instruments have been finalized & construction over the troubled Likoni channel is about to start.